Wanahitajika mafundi wawili kwa ajiri ya unyoshaji na upigaji rangi magari Katika karakana teule ya Action Auto Garage (authorized dealer wa TOYOTA) Dodoma na Morogoro.
Kwa mawasiliano Zaidi pitia tangazo lililobandikwa
Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe?
Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
Hello,
Natafuta watu wenye uzoefu wa kazi hizi.
-Marketing.
-Sales
Wakiwa jiji la Mwanza watapata kipaumbele. Tuma cv yako. Only shortlisted candidates will be contacted.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama
na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
Aisee kumbe wabongo wana upeo mdogo sana. Yaani hiyo story ya Diva hadi dada wa taifa kaingia mkenge (siamini kama Mange na yeye kaingia mkenge nahisi na yeye yupo kwenye payrol/ kuwatoa watu kwenye ishu ya ulimwengu wa 'Dada Paula').
Ni hivi, Diva kaandaa hiyo script kwa ajili ya kumpromote...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama.
Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu
Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne...
Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoka Simiyu kudai kuwa Wananchi wa Mtaa wa Majengo, Halmashauri ya Bariadi wako katika wakati mgumu kutokana na harufu kali na chafu inayotoka kwenye jalala ambalo pia limetawaliwa na moshi mwingi kutokanana uchomaji taka unaofanyika kila siku...
Salamu wana jamvi!
Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana?
Natanguliza shukrani!
Picha: Tyson Nduguru
Pichani ni ndugu yetu/rafiki yetu anayefahamika kwa jina la TYSON NDUNGURU maarufu mtandaoni kama Tyzee SwahiliHood.
Ndugu yetu tokea alivyotoka nyumbani kwake siku ya ijumaa ya tarehe 26/05/2023 hajarudi wala kuonekana nyumbani kwake hadi dakika hii tunapoandika tangazo...
Nimeona tangazo la nafasi za kazi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa nafasi mbali mbali.
Maswali langu ni:
1. Imekuwaje TRA wamejipa(kama ni kweli) jukumu la kuanza mchakato wa ajira(recruitment process)?
2. Ni lini sheria imebadilika kutoka PSRS(Sekretariat ya Ajira katika Utumishi...
Wanabodi na wapiga kura wenzangu
Nimeguswa na kushangazwa niliposoma tangazo kutoka kwa Mkuu wa JKT akitoa maelezo kwa vijana watakaojiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2023..maana yangu ni njema, kutaka ufafanuzi kwa jambo hili kulingana na maelezo yaliyotolewa.
Inakuwaje serikali inashindwa...
Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni.
BEI ZA LOGO
80K= Logo+B Card+Letter head (Softy Copy)
70K= Logo+B Card, Letter head au Tangazo (Softy Copy) kimojawapo
60K= Logo pekee
BEI ZA...
Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili.
1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa.
2. Kuendelea kupata sympathy ili apate justification kwenye muendelezo wa kesi yake.
Msipanic sana wana Yanga...
Hello!
Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.
~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
~ Namba: 0674074563
~ Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar
~ Nipo Temeke Dar es Salaam
TANGAZO MUHIMU
Mwaliko wa kushiriki Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Sweden utakaofanyika Tarehe 9 Mei hadi 11 Mei 2023 Nchini Sweden.
1. Leeds University Scholarship 2023/2024
Programmes: Accounting and Finance
Country: England
Level: PhD
Financial coverage: Fully Funded
Deadline: May 31, 2023
Apply: Leeds University Business School Accounting and Finance Department Scholarship 2023/24
2. University of Oxford Scholarships...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.