tanzania na msumbiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya ashiriki mkutano wa saba wa tume ya pamoja ya ulinzi na usalama Tanzania na Msumbiji

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Msumbiji (Joint Permanent Commission for Defence and Security – JPCDS)...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mhe Nyansaho Aongoza Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji

    Tanzania na Msumbiji Kuimarisha Usalama wa Mpaka na Maslahi ya Kimkakati ya Ukanda Na GULATONE MASIGA Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji, uliofanyika Dar es Salaam tarehe 4–7 Oktoba 2026, una umuhimu unaozidi masuala ya...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Daniel Chapo wa Mozambique ameanza ziara ya siku 3 nchini. Ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu ashinde Urais

    Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo anatarajia kuanza Ziara ya Kiserikali ya siku tatu hapa nchini kuanzia leo tarehe 07 Mei, 2025, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hii ni Ziara ya kwanza ya Kiserikali ya Mhe. Rais...
Back
Top Bottom