tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. I

    Tanzania tuna watu vichwa sana, sasa tunakwama wapi kuwatumia?

    Habari wadau kuna clip ya jamaa alikuwa kwenye kikao tume ya mipango amemwaga nondo, Kitila Mkumbo anabaki akitikisa kichwa. Tunakwama wapi kuwatumia hawa?
  2. R

    Kwanini Katiba ya Tanzania haina sahihi (signature)?

    Nimetafuta nakala mbalimbali za Katiba ya Tanzania lakini hakuna sahihi? Ni zipi sababu zilizopelekea tusitie sahihi kama ilivyo kwenye sheria na nyaraka nyingine?
  3. Asfati au Lami: Tanzania Inatumia Zaidi Ipi, je ipi itaokoa matengenezo ya kila mara!

    Swali: Ningependa kujua kati ya Asphalt na Tarmac, ipi inatumika zaidi nchini? Na ipi ina manufaa zaidi kwa mazingira yetu, hali ya hewa, na gharama za ujenzi na matengenezo? Pia, je, kuna mpango wowote wa Tanzania kutumia teknolojia mpya kama barabara zinazozalisha umeme (solar roads) au...
  4. Business Mentor, Tanzania Opportunity

    ** There will be immediate job opportunities for 28 outstanding training participants** Who you are: Bachelor Degree holder in Education Commitment to a 3 week training in Dar es Salaam Proven ability to coach and mentor teachers and secondary school students Excellent written and spoken...
  5. My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

    Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa! Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia! Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi...
  6. Tanzania na Canada Kushirikiana Kwenye Kukuza Ujuzi wa Wadau Sekta ya Madini

    TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE KUKUZA UJUZI WA WADAU SEKTA YA MADINI ▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini ▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum ▪️Canada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini ▪️Mpango wa Uwezeshwaji wa...
  7. Tariffs za Tanzania zitaumiza uchumi wetu dhidi ya Marekani, Japan na Ulaya

    Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%. Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui...
  8. T

    Pre GE2025 Umoja wa vijana wasio na ajira Tanzania (UYAM) umesema kuwa ukosefu wa ajira ndiyo chanzo cha vijana kujihusisha na ku- bet

    Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia kipato. Lawrent Kayaya, Mwakilishi wa UYAM akizungumzia hilo
  9. D

    Ajabu wanaosomea madini Tanzania hadi wanamaliza vyuo wanakuwa hawajawahi kuiona dhahabu wala almasi laivu

    Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania! Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc) Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu...
  10. T

    Pre GE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

    "Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
  11. Je, uwekezaji UTT ni mbadala sahihi wa Real Estate Tanzania?

    kipi ni bora kwa uwekezaji TANZANIA kati ya kuwekeza katika biashara ya nyumba au kuwekeza katika mfuko wa hifadhi wa UTT?? Let's say una milion 30 ni bora ujengee nyumba in which utapata kodi labda ya 250k au ni bora uwekeze kwenye UTT in which ina return ya labda 1% per month ambayo ni kama...
  12. Mgunduzi wa neno Tanzania afariki dunia

    Binadamu aliyebuni jina la taifa la Tanzania, Mohanmmed Iqbal Dar, amefariki Dunia akiwa usingizini jijini Birmingham, Uingereza alikokuwa akiishi akiwa na umri wa miaka 80. Mohammed Iqbal Dar aliyezaliwa Agosti 8, 1944, mjini Tanga, alikuwa mtoto wa Dk Tufail Ahmad Dar, daktari maarufu...
  13. SI KWELI Sekretarieti ya ajira wametoa taarifa kwamba walimu walio kosa maksi tano kufikia ufaulu kupangiwa vituo vya kazi kwa utaratibu maalumu

  14. Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora kabisa kuwahi kutengenezwa Tanzania

    Kwa wale wenye upeo wa kujua vizuri watakubaliana nami. Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora za Lugha ya Kiswahili kuwahi kutengenezwa Tanzania. Ni aibu kwanini hatuna Tamthilia za namna ile kedekede, kwani tunanyimwa uhondo haswa. Wahusika wote kwenye entertainment industry tunaomba...
  15. Tanzania yapokea faru weupe kutoka Afrika Kusini

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo katika...
  16. Msaada ufafanuzi page ya Tanzania government communicator

    Habari wakuu Kama title inavyojieleza naomba kufahamu hivi page ipo chini ya taasisi ya serikali au ipo chini ya mtu binafsi. Ni kwasababu mara nyingi nimeona caption zake zinaanza na neno " nime... " Nimefanya hivi n.k Lakini kuna vingine pia ni kama havihusiani na page au viko kibinafsi...
  17. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi UDOM ili waweze kujiajiri. Mafunzo kama haya ni vema yaambatane na uweze

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze kujiajiri mapema hata kabla ya kuingia rasmi kwenye soko la ajira. Amesisitiza hayo Februari 28...
  18. Pre GE2025 Lindi: Mbunge wa Viti Maalum achangia bati 90 ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea

    Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
  19. Pre GE2025 Chanzo cha Tanzania Kuwepo kwa 'Electoral Fraud' na Njia za Kuondoa Hali Hiyo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, imekuwa ikikabiliwa na changamoto za uchaguzi, ikiwa ni pamoja na tuhuma za udanganyifu wa uchaguzi (electoral fraud). Hali hii inachangia kutokuwepo kwa imani miongoni mwa wapiga kura na inaweza kuhatarisha demokrasia ya nchi. Chanzo cha...
  20. Tuseme ukweli tanzania hakuna server (kanzi data) kituo maalumu cha taifa kilichokuwa na wizara maalumu zenye kutegemewa na wizara mpaka vitengo

    Siwezi kushangaa waziri mkuu akilalamika kuwa serikali kupitia mfumo wa kukusanya malipo wapigaji wakiwa wengi mpaka wengine kupelekwa mahakamani. Siwezi shangaa kuona TRA,bandari na mifumo ya kodi kuwa pamoja mpaka kuwa na wimbi la kujaza makaratasi ya kutunza risiti ambayo yanatambulisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…