tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. figganigga

    TANZIA Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza

    Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza. Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964 Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
  2. Mkalukungone mwamba

    Chama cha Wazee Tanzania kutembelea Nchi nzima kusajili wanachama na kupinga ukatili wa kijinsia

    Chama cha wazee Tanzania watangaza ziara ya kuzunguka nchi nzima lengo kuu la ziara hiyo ni kusajili wanachama wapya lakini pia ni kupinga ukatili wakijinsia hii ikiwa ni kuunga jitihada za waziri lakini pia jitihada za mheshimiwa Raisi wajamuhuri ya muungani wa Tanzania
  3. G Sam

    Aliyeweka video ya mwanajeshi akisachiwa kwenye mitandao kwani anatuma ujumbe gani?

    Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo. Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi. Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa...
  4. sergio 5

    Unafiki sio jadi yangu Samatta Mbwana ndiyo best football player ever in Tanzania history na huenda asijekutokea kama yeye

    Ana mataji kadhaa ya champion league Africa CAF TUZO YA MCHEZAJI BORA WA NDANI AFRICA Mfungaji Bora wa CAF Kucheza team kadhaa ulaya Best in scoring,dribling skill , shooting nk Hakika uyu mtu tumsifie kabla hajafariki Kipaji haswa
  5. B

    Tanzania Denies Weapons Shipment to DRC

    Tanzania Yakanusha Madai Usafirishaji wa Silaha Kwenda DRC |Tanzania Denies Weapons Shipment to DRC https://m.youtube.com/watch?v=tFlpuW29ygw The statement also dismissed claims that the vessel MV Amani had been seized by Tanzanian authorities. “The information circulating on social media and...
  6. ESCORT 1

    Kumbe Waziri wa Ulinzi wa Kenya ni Mwanamke kama ilivyo huku Tanzania

    Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya. Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi. Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
  7. 1Afica54

    Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania

    Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania Jamii Forums, jukwaa maarufu la majadiliano na taarifa, limekuwa na athari kubwa katika kuhamasisha, kuelimisha, na kuendeleza vijana wa Tanzania. Kupitia majukwaa yake mbalimbali, Jamii Forums imeweza kuchangia katika...
  8. 1Afica54

    Rasilimali za kilimo, ufugaji na uvuvi na mchango wake katika uchumi wa Tanzania

    RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa. Miongoni mwa sekta hizi ni kilimo, ufugaji na uvuvi. Sekta hizi zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa...
  9. Mateso chakubanga

    Tanzania nchi kumi bora utajiri na uchumi Afrika

    Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
  10. A

    Pre GE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna ‘Electoral fraud’?

    Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu. Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi. Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri. Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile. Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri...
  11. Lord denning

    Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

    Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi? Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe...
  12. Career Mastery Hub

    Tafakuri kuhusu mchakato wa ajira za walimu na matakwa ya NETO na ushauri wangu kwa serikali Tanzania

    UTANGULIZI Madai ya NETO kuhusu serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaajiri walimu wote wa 2015-2023, Kufuta usaili kwa kada ya elimu yanaonesha presha kubwa kutoka kwa wahitimu wa elimu na maumivu ya mchakato wasasa. Presha hii ni ujumbe wa wazi kuwa watu wengi wanahitaji ajira na...
  13. Artificial intelligence

    Mjadala twitter (X) jinsi Wanyarwanda wanavyolizodoa Jeshi la wananchi wa Tanzania 🇹🇿

    Video mjongeo inayotrend Tiktok na X ikionyesha jinsi wanajeshi wa Tanzania walivyokuwa wakikaguliwa kwenye mpaka wa Rwanda na Congo wakati wakurudi Tanzania wakitokea kwenye misheni ya kulinda amani Goma. Video hii inaendelea kusambaa kwa kasi mitandaoni huku M23 wakiitumia katika propaganda...
  14. Intelligence Justice

    Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  15. mcTobby

    Hivi kwenye jela za Tanzania kuna raia wa haya mataifa ?

    Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo? 1.Marekani 2.uingereza 3.Canada. 4.Saudi Arabia 5U.A.E 6.N.K Tafadhalini naomba mnijuze, Lengo la kuuliza hivi ni.kwa sababu kuna kautafiti kangu binafsi nafanya😊
  16. W

    Makamanda wa Tanzania 🇹🇿 JWTZ wanarundi Nchini Baada ya Kukaguliwa Mpakani mwa Rwanda na DRC.

    This is the trending video on Rwandan social media showing Tanzanian military officers at the Rwanda-DRC border office in Rubavu. They were repatriated from Goma after M23 seized control of the city. Reports indicate that M23 captured over 1,300 SADC troops, including soldiers from Tanzania...
  17. mcTobby

    Tuache unafiki , angekuwa hapa kwetu Tanzania mngempa hiyo nafasi?

    Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
  18. MKATA KIU

    Biblia inasema Fungu la kumi apewe mlawi, Je hapa Tanzania kuna walawi? Je wachungaji ndio walawi ?

    Wakristo wenzangu naombeni majibu. Fungu la kumi ni sheria ya Musa katika agano la kale. kwenye agano la kale Hesabu 18:21 imeandika Fungu la kumi lilitolewa kwa kabila lililokosa ardhi linaitwa kabila la Walawi kwa ajili ya kazi yao katika hema la kukutania. Leo tunaambiwa tupo kwenye agano...
  19. P

    Rais Samia Suluhu Hassan ndiye muanzilishi wa program nyingi zaidi Tanzania kuwai kutokea

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Naona kila kitu imekuwa ni Samia. 1. Madaktari wa Samia 2. Waalimu wa Samia 3. Mitungi ya gas ya Samia 4. Wanasheria wa Samia 5. Shule za Samia 6. Ongezea na program zingine
Back
Top Bottom