Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.
Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.
Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.
Isikilize/ iangalie halafu...
Weka picha ya Tanzania Ambayo hauwezi kuiona katika TV .
Lengo ni Ku-raise awareness Kwa jamii kuwa Tuna Watanzania wenzetu wanoishi maisha magumu na wapo katika mazingira hatarishi.
Kupitia picha hizi Serikali na wadau wa Maendeleo wanaweza kufanya jambo
Asante.
Zaidi ya shilingi Milioni 51 zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA zimetekeleza mradi wa ujenzi wa Vyoo matundu 24 katika shule ya Sekondari Mpechi Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe na kupunguza changamoto ya watoto kuugua magonjwa yanayotokana na uchafu.
Akikabidhi mradi huo...
Hili limeniumiza sana
Kweli karne hii bado wazawa tumeshindwa kabisa kusuka nondo na kumwaga zege kwa ajili ya kujenga barabara ili ma bus ya mwendokasi yapite.
Wageni tunaowapa tenda wanatudharau sana.
Sijaona maono yoyote ya maana kutoka kwa Mwenyekiti mpya wa chadema ambayo yanaweza kubadili nchi zaidi ya kuwazia madaraka ya kiserikali tu.
Sijasikia mipango madhubuti kwenye sekta mbalimbali mfano kilimo,teknolojia,ajira,afya,elimu au maswala ya ulinzi na usalama.
Ni ujuha kalulu kufikiri...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
kimataifa
kuhifadhi
kuhifadhi quran
kusoma
mashindano
muungano
quran
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani.
Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi
Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
UMOJA WA ULAYA
Ujumbe wa Wabunge wa Ulaya Wafanya Ziara Nchini Tanzania kwa Ajili ya Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi
Dar es Salaam, 23 Februari 2025 – Wabunge saba wa Bunge la Ulaya (MEPs) kutoka Kamati ya Maendeleo watafanya ziara nchini Tanzania kuanzia tarehe 24 hadi 26 Februari. Ziara hii...
Na hilo ndilo litakalothibitisha kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan habahatishi na yeye pekee ndie champion of everything in Tanzania,
Ni champion wa wa amani na maridhiano, ni champion wa utalii, ni champion wa mazingira, ni champion wa afya, ni champion wa kilimo, ni champion wa ufugaji, uvuvi na...
Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja!
Modes naomba uzi huu...
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi.
1. Mkeka bet
2. Winprinces (online operation)
3. Princes bet
4. Michezobet
5...
Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu.
Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah.
Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli...
Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania.
1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde...
Kwa heshima,
Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Makao Makuu,
Dar es Salaam.
Mpendwa Kiongozi,
Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu katika kujadili suala la ulinzi na usalama nchini Tanzania. Kwanza kabisa, napenda kuwapongeza kwa...
Hamjambo humu?
Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali.
Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected.
Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.
1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.
NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa...
Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump.
Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni Mganda na Mama yake ni Mtanzania walioamua kuhamia Marekani ambako huko ndiko Kash Patel alikozaliwa...
Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao
Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.