Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
.
Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu.
Nchi haina umoja
Nchi ni tajiri sana
Nchi haina jeshi hata la watu laki moja
Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita.
Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno
Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
Nimejifunza kitu wiki hii Tofauti ya Nation na Country.
Kwa kiswahili sijui ni aje
Nchi na Taifa.
Taifa ni nchi yenye
Tamaduni moja
Lugha moja
Dini moja
na mila moja
Wakati nchi Ni jamii ya watu wenye lugha tofauti na tamaduni tofauti waliojikuta au kuishi pamoja.
Mfano wa mataifa
-Ujerumani...
Wakuu nimevutiwa na mijadala mikubwa huko Duniani inayohusu ukabila, uraia, u bara na urangi hasa iliyoanza huko Afrika kusini ambapo watu wanavutana je wazungu ama watu weupe wa Afrika kusini ni waafrika ama sio waafrika.
Na je uafrika ni rangi ama ni ubara bila kujali rangi yako. Je kama ni...
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua.
MADHARA
1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo...
Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa mafanikio.
Upasuaji huo uliofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyojengwa na Wachina...
Habarini wana jamii
Matumizi ya mtandao wa intaneti hivi sasa ni makubwa sana hapa nchini, si kwa watu wazima tu bali hata kwa wanafunzi. Hata hivyo wanafunzi wengi kwa maoni yangu huwa wanatumia mitandao sana sana kwa ajili ya burudani, ni mara chache utamkuta mwanafunzi akitumia mitandao kwa...
Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo:
Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
Regional and International Wholesale Account Manager
Let’s grow together and become our Regional and International Wholesale Account Manager.
Qualifications: Bachelor’s Degree in Marketing, Business Administration, or related fields. Minimum 5 years of experience in account...
The difference starts right at Namanga.
Check the trucks at the border. There are no Kenyan Trucks. But TZ Trucks are loaded bringing goods to Kenya and going back empty. 1-0 TZ
TZ Roads are clearly marked. Milestones, lanes, speed limits.
Which Roads have Milestones in Kenya. Zero.
Lanes are...
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo...
"Tunaamini ndani ya ushirikiano na tunapongeza taasisi ya Global Peace Foundation na ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania kwa kufadhili mradi huu wa “Jamii Shirikishi katika Uzalendo na Ulinzi”. ~ Mh Victoria Mwanziva, Mkuu wa Wilaya ya Lindi.
"Sisi kama viongoizi hatutakuwa vikwazo, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.