Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kumekuwa na sintofahamu baada ya Trump kuzuia misaada kwa nchi mbambali kutokana na kile anachokiita misaada hiyo kutoinufaisha Marekani moja kwa moja. Hapa nchini marufuku hiii imezua mijadala mingi sana ikiwemo kwenye jukwaa letu hili pendwa. Watu mbali mbali wamekuwa wakionekana kufurahia...
Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea utakaochezwa Februari 20, 2025 uwanja wa Azam Complex, Chamazi. @twigastarstz
Baada ya mwaka jana chama cha ANC kupata kiasi cha asilimia 40 tu ya kura, mwaka huu wamekuja na sera ya kuwezesha kufanyika land redistribution. Kwa miaka yote wazungu wachache wa SA bado walikuwa wanashikilia asilimia 70 ya ardhi yote ya nchi hiyo. Serikali ya ANC kushindwa kuwapatia ardhi...
🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓
AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
0781647066
____________________________________________
📠☎️ 0781647066
WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua huduma za usafiri wa ndege za shirika hilo mkoani Mtwara ambapo ndege hizo zitakuwa zikifanya safari za Dar es Salaam-Mtwara mara tatu kwa wiki.
Akizungumza Februari 17, 2025 wakati wa uzinduzi wa safari za ndege hiyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji...
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
erick kibendera
hayati magufuli
hayati rais magufuli
ingekuwaje
kitabu cha kibendera
kumbukizi ya magufuli
kumbukumbu ya magufuli
magufuli
tanzaniatanzania kujitegemea
viongozi wa africa
watanzania
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme.
Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.
Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?
Au Cosmos Chidumule?
Au hayati Tx Moshi?
Muda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme.
Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanyika Tanzania na Africa mashariki yote.
1. idadi ya watu 11856 wamefika rufiji na kushiriki kulijenga
2. Raia wa mataifa 56 tofauti wamefika rufiji kushiriki kulijenga...
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali Rais Samia ameonekana akitumia ndege mpya ya Rais yenye usajili 5H-ONE aina ya Gulfstream G700, kwa mujibu wa Data ndege hii imeanza kutumika mwezi February.
Wengi wamekuwa wakidhani ndege hii ni ile aliyokaicha Hayati Benjamin Mkapa ila ndege aliyokaacha Mzee...
Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania.
Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo...
Baada ya kuona Wananchi wengi wanaielewa hoja ya Lissu na Chadema kuwa bila kufanya Marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu, CCM wamechanganyikiwa kiasi cha kuanza kutengeneza propaganda mfu wakidhani wataweza kuendelea kuwarubuni Watanzania kukubali...
Hizi taarifa za serikali naona kama zinanipa maswali mengi bila majibu.
Mei 2024 aliekua waziri wa Utalii Angela Kairuki alisema kwa mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii Milioni 1.8, ambayo ilikua ni ongezeko la 96% kulinganisha na watalii laki 9 wa mwaka 2021...
Katika aina mbalimbali za Udikteta na sifa zake basi nchi ya Tanzania inaangukia katika Udikteta wa chama kama mfano China.
Tanzania haina Udikteta wa mtu mmoja kama Rwanda au Uganda, haina Udikteta wa kijeshi kama Misri,Burkina Faso, haina udikteta wa kifalme au kimalkia, haina udikteta wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.