tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. D

    Tanzania kwani hatuna maono/ ndoto za kuhost World Cup?

    Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa lakini sasa ni kama tunafanya for afcon tu yani hatuna kabisa maono zaidi ya hapo. Tuna viwanja viwili vipya...
  2. B

    Majina ya Kina John wamefanikiwa sana kuingia kwenye Siasa na Serikali Tanzania, nini siri ya jina John?

    1. John Kijazi 2. John Magufuli 3. John Heche 4. John Mnyika 5.John Kaijage 6. John Kitwanga 7............. Aliyepata hasara ni John Babptist tu. Kama una akina john wengine wataje
  3. Jamii Opportunities

    Relationship Officer II – 4 Posts at Tanzania Commercial Bank February 2025

    Summary: Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products with a vision “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible and convenient financial...
  4. Ojuolegbha

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
  5. I

    Kuna mwanasiasa Tanzania wa kuweza kumkabili Rais kama hivi?

  6. Waufukweni

    Air Tanzania yapata hasara ya TSh. Bilioni 580 katika kipindi cha Miaka 9

    Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege mpya kadhaa. Air Tanzania na hasara zake miaka 9 mfululizo 2014/2015 - Tsh. Bilioni 94.3...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Je, Marekani kuanza kusitisha baadhi ya misaada kutaathiri Demokrasia katika nchi za ulimwengu wa tatu ikiwepo Tanzania?

    Mpo salama wote! Awamu ya pili ya Donald Trump imekuwa na Sera korofi kwa mataifa mengine. Sera ya isolation ni Sera ambayo nchi Fulani hujitenga na mataifa mengine na kufungia Fursa za kiuchumi ndani ya taifa husika. Tunajua kuwa Demokrasia ilianzia nchi za Ulaya hasahasa nchi ya Ugiriki...
  8. MENEMENE TEKERI NA PERESI

    Naapa naahidi Tanzania nitakulinda mpaka kufa

    Salamu kwa mkeo ,kwangu sio kipaumbele . Nawasalimu wote wanaonijua na wanaonipenda ,endeleeni kufurahia na kufanya yapendezayo moyo wenu . Kwaheri watanzania ,kwaheri marafiki ,kwaheri ma_ex ,kwaheri warembo ,kwaheri mashababi na kwaheri majobless pro max . Nawapenda Sana Ila mwisho na sio...
  9. I

    Maswali gani huulizwa nafasi ya accounts officer ii, Tanzania Aviation Authority?

    Salamu wana jukwaa wenzangu. Nauliza maswali gani huulizwa kwenye nafasi ya accounts officer ii taasisi ya Tanzania aviation authority. Tusaidieni, wengine ndio mara ya kwanza kuitwa interview hizi za taasisi za serikali.
  10. Mr Why

    TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni

    Serikali ya Tanzania kupitia TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu (..) kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni Kuna mitandao fulani ya simu kila ukiweka salio la fedha katika account yako au ukitumiwa pesa unatafutwa na namba mpya yenye viashiria vya...
  11. Waufukweni

    Hamdi, Kocha wa Yanga aanza na malalamiko baada ya suluhu na JKT Tanzania

    Hamdi Kocha wa Yanga "Ukiwa unafukuzia ubingwa ni ngumu kukaa kileleni, ni bora kukaa nafasi ya pili ukiwa unampumulia kinara wa ligi, narudia tena hakuna kazi ngumu kama kukaa kileleni" "Halafu leo sijapendezwa na refa, muda wote alisimamisha mchezo na kupoteza muda"
  12. ngara23

    Tathmini fupi mechi ya JKT TANZANIA vs Young Africans

    Mechi ilikuwa nzuri Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri Hii inathibitisha ubora wa ligi Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na...
  13. Abraham Lincolnn

    Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania

    10. Liti Kidanka. Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka leo hii fuvu la kichwa chake liko huko Ujerumani. Aliunganisha watu na alitumia nyuki kupambana na...
  14. figganigga

    Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  15. Kidagaa kimemwozea

    Media za Tanzania zijifunze kutoka Kenya

    Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi...
  16. R

    Maslahi ya Mbunge wa Tanzania ni kufuru

    Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi) Posho kujikimu — Sh250,000 (siku) Posho kitako — Sh220,000 (siku) Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs) Mkopo gari — Sh90M (5yrs) Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka) Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho...
  17. Yoda

    Makabila yapi Tanzania yana mila za wanaume kukanyaga au kuruka wanawake waliola chini?

    Mila nyingine zinachekesha sana, mojawapo ni hii mila ya kukanyaga au kuruka mawowo ya wanawake waliola chini.
  18. Loading failed

    TRA kuna fani hazipo kwenye job careers yenu nini mustakabali wake kwa wasomi wa Tanzania

    Ndugu .. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
  19. holoholo

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

    Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo. Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa...
  20. M

    Viongozi wa JKT Tanzania hakikisheni Yanga hawapiti mlango wowote zaidi ya ule mtakaopitia nyinyi, washaingia katika mfumo leo

    Leo lazima kuwe na ubaya ubwela pale Meja Isamuyo, tafadhalini sana uwanja huo una nidhamu zake, eneo hilo ni kambi ya Jeshi, mambo ya kuingia uwanjani kuruka ukuta ama kuvunja geti mpitie mlango mwingine tofauti na ule uliowekwa ukomeshwe leo, Utopolo hawana uwezo wowote zaidi ya nje ya uwanja...
Back
Top Bottom