tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni 'Mortuary Attendant' wa Tanzania, ila usiombe Nduguyo afie India halafu uje uipokee Maiti yake waliyoiandaa Wao huko

    Kuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Royal Tour itampaisha Rais Samia na kuipaisha Tanzania kimataifa

    Wakosoaji wanasema zimetumika zaidi ya shilingi bilioni tano katika kuiandaa Royal Tour huko mbugani. Yameongewa mengi, mengine ni mbwembwe tu kama ile habari ya Samia kuendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15 siku alipomuendesha yule mzee wa kizungu kule mbugani. Mengine ni habari...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

    Iko hivi, Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100% Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani. Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo...
  4. Poker

    JamiiForums Tanzania Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

    Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja...
  5. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Sikia makubaliano mapya kati Tanzania na jiji la Dallas, Marekani

  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba Kujua Zilipo Ofisi za Copy Cat Tanzania

    Msaada: Naomba kuuliza ofisi za Copy Cat Tanzania ziko wapi maana kwenye mtandao hawapatikani na pale ofisi zao Victoria hawajaweka bango kuonyesha wamehamia wapi Asante
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tsh bilioni 208 kutumika kujenga Mahakama za Mwanzo 60 mpya Tanzania

    Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema zaidi ya Tsh bilioni 208 zimetengwa kujenga Mahakama za mwanzo 60 na vituo jumuishi vya haki 12 katika mkakati wa maboresho ya awamu ya pili ya kufikisha huduma za Mahakama vijijini. Profesa Gabriel alibainisha hilo...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kenya inatuzidi wapi Tanzania? Baada ya Microsoft na Visa kufungua vituo vyao Nairobi, Google nayo yasema inafungua kituo chake nchini humo

    Google imetangaza kuzindua kituo cha ukuzaji wa bidhaa jijini Nairobi, ambacho ni cha kwanza katika bara la Afrika, ili kujenga bidhaa na huduma za "mabadiliko" kwa soko la Afrika na ulimwengu. Haya yanajiri baada ya kampuni hiyo kubwa ya teknolojia kufichua mipango ya kuwekeza dola bilioni 1...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Logistic Specialist at ISOAF Tanzania Limited April, 2022

    ISOAF Tz Limited is a Tanzania-incorporated company with its head office in Dar es Salaam and its plant in Nzega District. The Company is soon expecting to commence its operations as a Thermal insulation System Contractor for East African Crude Oil Pipeline (EACOP) Project. Job Description –...
  10. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekosa Viongozi wenye kufariji Wananchi

    Bana bha JF bonsoir!? Inasikitisha kuona ya kwamba hakuna kiongozi anajali na kuishi dhana ya uongozi hasa wajibu wa kufariji wananchi nyakati ngumu, kila kiongozi anajiangalia yeye na roho mbaya ikitamalaki. Hii nchi viongozi ni machatu ya kutisha. Bei zinapanda no body cares for a common...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON-2023: Tanzania yapwangwa Kundi F pamoja na Uganda, Algeria, Niger

    Je Tanzania ataweza kufuzu mbele ya miamba hii. Group F Algeria Uganda Niger Tanzania === Group A: Nigeria, Sierra Leone, Guinea-Bissau, Sao Tome e Principe or Mauritius Group B: Burkina Faso, Cape Verde, Togo, Eswatini Group C: Cameroon, Kenya, Namibia, Burundi Group D: Egypt, Guinea...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Helkopta ya ajabu yaonekana Tanzania.

    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Helkopta ya kisasa katika nchi yangu. Hii ni hatua kubwa sana.
  13. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Makubwa yamkuta Miss Tanzania

    Ni yule mwenye kijungu matata. Yaelezwa kuwa hajatulia. Inasemekana amekuwa anajivunia uzuri wake. Makubwa sana yamemkuta Jionee mwenyewe
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tanzania among four countries to benefit from European Union (EU) funding targeting Mining Sector

    Tanzania is among four countries that will benefit from an European Union fund of 174 million rand targeting the mining sector. The funding was directed to the 79-member Organisation of African, Caribbean and Pacific States, OACPS, but only four members were selected.
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania New York: Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Tanzania - Starring Samia Suluhu Hassan, President of The United Republic of Tanzania

    Wanabodi, Niko standby hapa katika ukumbi wa Jumba Mashuhuri la Makumbusho liitwalo Guggenheim , jijini New York kuwaletea live uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unaofanywa na Rais Samia. Ujio wangu hapa New York ni kufuatia ushauri huu Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CCM: Taarifa Kuhusu ROYAL TOUR 2022

    Taarifa ya CCM Kuhusu Uzinduzi Royal Tour Jumatatu, April 18, 2022 #ChamaImara #KaziIendelee
  17. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Rais ya wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    Rasi Samia Suluhu Hassan
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi ya Tanzania Mkuu wa nchi anapotutoka kunakuwa na ratiba nyingi sana

    Nchi yetu ina makao makuu mawili, ina nchi mbili,ina mkoa anapotoka rais,ina nyumbani kabisa anapotoka mkuu.Sasa unakuta huku kote kunatakiwa kuwe na ratiba na pilika nyingi ambazo zinakula muda na gharama nyingi sana. Msiba ni mkubwa shughuli zote za serikali zinasimama karibu wiki nzima...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambojet yaruhusiwa safari za ndani ya Tanzania, huku Taifa gas ikiruhusiwa kufungua kiwanda Kenya

    Tunakwenda vizuri hadi hapo. Hakuna majungu ila tu makubaliano ya kibiashara, hamna cha kuchomeana vifaranga ======== Tanzania and Kenya have hammered out a bilateral trade deal cutting across the aviation and energy sectors, enabling growth of the Common Market. In the new deal, Kenyan...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi. Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu. Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine. Sasa...
Back
Top Bottom