Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,401
- 4,707
Bana bha JF bonsoir!?
Inasikitisha kuona ya kwamba hakuna kiongozi anajali na kuishi dhana ya uongozi hasa wajibu wa kufariji wananchi nyakati ngumu, kila kiongozi anajiangalia yeye na roho mbaya ikitamalaki. Hii nchi viongozi ni machatu ya kutisha.
Bei zinapanda no body cares for a common man, je, bei ya mafuta ya magari ikishuka wafanyabiashara nani ataratibu kushuka kwa bei za bidhaa zilizohushishwa na kupanda kwa bei za mafuta ya magari diesel na petrol ?
RAIA wa nchi hii msipopiga kelele kwenye mambo ya msingi mjiandae kwa kiama Freemason na illuminate hawana huruma.