tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano, 2022: Rais Samia asema Maendeleo hayafanywi na CCM na Rais pekee, aahidi ushirikiano na vyama vingine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. ========= Updates: RAIS SAMIA AMEELEZA HAYA: Binafsi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Tanzania wanalamba asali tamu

    Haijawahi kutokea na haitakaa itokeee free ride kama waliyonayo wafanyabishara wa Tanzania kwa sasa, usishangae leo ukakuta sabuni ya kuogea inauzwa 500 kesho asubuhi ni 1200 ukilalamika unaambiwa ni vita ya ukraine Rais wa nchi kama mara tatu kwenye hotuba zake amekuwa akisisitiza kwamba ni...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mikoa gani na wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi Tanzania?

    Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi? Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanamichezo wangu Bora 22 ndani ya Tanzania kwa Karne ya 21

    Karne ya 21 tumeshuhudia mengi Sana kwenye michezo,ya kutia aibu mfano kukosekana kwa disc lenye wimbo wa taifa ndani ya uwanja wataifa Hadi yale ya kubadilisha muda wa mchezo bila timu shiriki kupewa muda. Pia Kuna mengi mazuri ya kujivunia ndani ya miaka hii 22 ya Karne ya 21. Wafuatao ni...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi Tanzania kupeleka timu nne

    ➡️Baada ya klabu ya Simba kufanikiwa kutinga robo fainali ya kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup) rasmi sasa Tanzania tutapeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF msimu ujao (2022/23) baada ya kuwa miongoni mwa maitaifa 12 yayopeleka timu 4 msimu ujao. ➡️ Kabla ya mchezo wa jana Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ndani ya CCM badala ya kuleta matumaini yamewavuruga wengi na kesho ya Taifa la Tanzania

    Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa. Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mapungufu katika tuzo za Tanzania Music Awards (TMA)

    Unapokuwa na maono ya kufanya shughuli yoyote inayohitaji ubunifu na manufaa makubwa, jaribu kuwaona waliowahi kufanya shughui Kama hiyo ili wakuelekeze inafanyikaje! Nimestaajabishwa sana kuhusu TMA walichokifanya🥺! Maana ilikuwa Kama kongamano la kisiasa yani... Stage mbaya Lighting mbaya...
  9. JamiiForums Tanzania Washindi Tuzo za Muziki Tanzania 2021, heshima kwa Rais Samia, Diamond, Ruge, Mabeyo

    Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli inafanyika kwenye kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima ni...
  10. JamiiForums Tanzania Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

    Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha 1. Utoaji wa Tuzo Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP) Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mazingira ya Kisheria na Kifedha kwa Biashara Ndogondogo Nchini Tanzania

    Na Francis Nyonzo Sekta isiyo rasmi imeajiri 76% ya watu nchini Tanzania; 47.6% katika biashara ya jumla na rejareja, ukarabati wa magari na pikipiki, na 12.9% katika huduma za malazi na chakula. Biashara ndogondogo ni zile ambazo zina wafanyakazi chini ya watano ambazo mara nyingi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania haifungamani na upande wowote, kwanini hatununui mafuta ya Bei rahisi Urusi?

    Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
  14. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

    Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mikoa yote Tanzania inayopakana na nchi nyingine iongozwe kijeshi

    Mikoa kama Kagera, Kigoma, Mara, Arusha, Moshi, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Mtwara nk iongozwe kijeshi na itangazwe kuwa ni mikoa ya kijeshi, Mikoa hiyo kama kutakuwa na ulinzi wa kutosha wenye uadilifu kutoka kwa wanajeshi wetu. Tunaweza kukusanya kodi na kufanya biashara kikamilifu, lakini pia...
  16. JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi na Ukraine vyaifadisha Tanzania

    Uwekezaji katika uchimbaji wa gesi na mafuta nchini Tanzania utaongezeka kwa Dola Bilioni 10 sawa na tsh. Trilioni 23.2. Awali, Tanzania na kampuni ya uchimbaji mafuta na gesi ili ya Equinor ASA na Shell Plc zilikubali kuwekeza Dola bilioni 30 sawa na Tsh. Trilioni 69.58 ambapo kutokana na...
  17. JamiiForums Tanzania Mech ya Senegal Vs Misri inaanza saa ngap kwa majira ya Tanzania?

    Mwenye taarifa naomba ansaidie il nijiandae nkachek mech kubwa na tam
  18. JamiiForums Tanzania Ujio wa DRC una manufaa gani kwa EAC?

    DRC: Jumuiya ya Afrika Mashariki yakaribisha mgeni mpya baada ya kuwasili kwa DRC, anakuja na mazuri gani? Mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yana kila sababu ya kusherehekea, yakiikaribisha Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) kuwa mwanachama mpya wakati viongozi wake...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
  20. JamiiForums Tanzania Tujadili Mfumo wa Elimu utakaotufaa Tanzania. Maoni yataunganishwa na kufikishwa Bungeni na Serikalini

    Members, Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa ushauri, Maoni na Marekebisho kuhusu mfumo wetu wa elimu Tanzania. Hoja zitakazotolewa hapa zitaunganishwa na kuwafikishia wahusika Bungeni na kwenye mamlaka ya Serikali. Tujadili ni aina gani ya masomo tunayohitaji yafundishwe kwa watoto wetu, Watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…