tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanachama UN wapiga kura mzozo wa Urusi - Ukraine

    Kumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine. Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea. Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi tumewakilisha: Source: NPR Cookie Consent and Choices === Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa...
  2. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Kanisa Katoliki kukosa uwakilishi Mkutano wa Rais Samia na Viongozi wa dini?

    Tarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi. Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Monitoring and Evaluation Director at T-MARC Tanzania

    POSITION TITLE: Monitoring and Evaluation (M&E) Director LOCATION: Dar es Salam, Tanzania Under the supervision of the Chief of Party, the M&E Director will provide leadership and management oversight of research, monitoring and evaluation activities for the project in alignment with the YES...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Chief of Party (COP) at T-MARC Tanzania

    POSITION TITLE: Chief of Party LOCATION: Dar es Salam, Tanzania The Chief of Party (COP) will provide technical and administrative leadership and expertise to the YES Activity and will be the primary liaison with USAID/Tanzania, relevant ministries of the Government of Tanzania. The COP is...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tanzania is now a donor country.

  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hapa bongo wengi wanaojiita hackers ni show off kwajili ya attention, hawajafika hizo level na ni watupu hawajui kitu.

    Copy paste kutoka fb...... Tanzania kuna "𝐭𝐚𝐩 𝐤𝐢𝐝𝐝𝐢𝐞𝐬" wengi wanaojiita "𝐇𝐚𝐜𝐤𝐞𝐫𝐬" , hii ni sawa na panya kujifananisha na simba wakati hamwezi hata nyau. Kumekua na tabia ya ajabu sana siku hizi, mtu anajijua kabisa hafikii hata theluthi ya hacker ila anaamua kujipachika jina la hacker...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vivutio vya Tanzania kuwekwa kwenye jengo la Burj Khalifa ina maana gani kwa Taifa?

    Na Bwanku M Bwanku. Dubai pale Falme za Kiarabu (UAE) kwa sasa ni moja ya maeneo maarufu yanayotembelewa na watu wengi sana kila siku na kila mwaka. Kwasasa Dubai kunasifika ulimwenguni kote kwa Utalii wa hoteli, kupumzika, mikutano mikubwa ya Kimataifa, maonyesho na mikutano mikubwa ya...
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania UVIKO-19 Tanzania: upo au haupo?

    Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana. Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe. Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa. Toka awali kabisa nilisema kuwa huo ugonjwa, kwa mtazamo wangu mimi, siyo mkali sana kama tulivyokuwa tunaambiwa. Kwa hapa Tanzania...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi sana kwa 'Kiherehere' cha Tanzania Kukubali kuwa Kituo cha Mapambano ya Ugaidi Afrika

    Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi. Je...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Haya mambo mbona yanachanganya, ina maana Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni?

    Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu. Mungu Ibariki Chadema.
  11. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Taasisi na mashirika ya Serikali ambayo yana huduma mbovu kwa wateja Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu wa kupitia huduma mbali mbali katika mashirika hayo kwangu naona Hawa WATANO Wafuatao kwao mteja ni "boya" na Wala sio mfalme 5. TRA 4. Polisi 3. Maji 2. Nida 1. Tanesco Kama umewahi kwenda ofisi hizo hapo juu utaona jinsi unavyopokelewa mpaka...
  12. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

    Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate. Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani ...
  13. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania List ya sarafu za Afrika kuanzia ile ambayo ina nguvu zaidi hadi ile ambayo haina nguvu. Kenya ipo vizuri, Tanzania inavuta mkia

    Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imeridhishwa na TFF katika kujenga na kuboresha miundombinu rafiki ya michezo ili kuendelea kuibua na kuendeleza vipaji

    SERIKALI IMERIDHISHWA NA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MICHEZO INAYOTEKELEZWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) Serikali inaridhishwa na kuthamini hatua zinazochukuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) katika kujenga na kuboresha miundombinu rafiki ya michezo ili...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera: Uganda ilikuwa na Silaha bora Tanzania ilikuwa na Jeshi bora. Mwisho wa vita silaha zile zikawa zetu tena zikiwa Mpya kabisa

    Wale wahenga mnakumbuka tulizishuhudia zile silaha pale uwanja wa Uhuru baada ya wapiganaji wetu mashujaa kurejea kutoka vitani huko Mutukula. Vita ni uimara na ujasiri wa mioyo na akili za wanajeshi na siyo wingi wa zana za kivita japokuwa nazo ni muhimu. Mungu wa mbinguni ibariki Ukraine...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania

    Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo hilo refu zaidi Duniani huku Utalii wa Taifa letu ukizidi kutangazwa. Yote hii ni matunda ya ziara ya siku 3 ya Rais...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hivi TANZANIA tuna Air defence system ya aina gani?

    Poleni na majukumu wakuu Naomba kuuliza,kwenye hii vita inayoendelea huko ulaya,tunaona jinsi wenzetu wa Ukraine wanavyojitahidi kuzidungua ndege za Russia na kuzuia baadhi ya makombora kwa kutumia mfumo wao wa ulinzi wa anga. Hivi sisi hapa kwetu tunayo air defence system, na kama tunayo ni ya...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Leila Mohammed Musa, ambaye ni...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Ubunifu huu wa 'Daladala' za nchini Denmark uigwe na za Tanzania ili tusiooa na wasioolewa tupate Wenza wetu wa Maisha

    Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Ukabila wala Udini lakini kuna Makabila na Dini

    Tanzania Hakuna ukabila wala udini lakini kuna makabila na Dini. kipindi cha awamu ya Tano Wananchi wengi na wadau wengi wa mtandao wetu pendwa wa JamiiForums walikuwa wakieneza propaganda kuhusu uteuzi na ajira kipindi cha miaka iliyo pita ulikuwa ukihusisha ukabila na kutaja kabila moja wapo...
Back
Top Bottom