Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
Wakuu Kwema!
Ifuatavyo ni orodha Rasmi ya Watu wanaopitia Maisha Magumu katika nchi yetu ya Tanzania.
1. Single Mother.
Moja ya kundi linalopitia maisha magumu hapa nchini Tanzania ni Dada zetu waliopata watoto kabla ya kuolewa.
Ugumu wa maisha yao unatokana na mtazamo wa jamii dhidi Yao, pia...
Nahisi nina testicle varicocele (mishipa ya korodani kuvimba) sija fanyiwa uchunguzi bado lakini kwa asilimia nyingi nahisi ndio hiyo. Nauliza hospital ipi nzuri kwa ajili ya kupima na matibabu yake ni sh. Ngapi?
Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) imetoa Msaada wa Euro Miliono 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya Maendeleo
Fedha zilizotolewa zinatarajiwa kutumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kipindi miaka mitatu ijayo na Serikali imeainisha kutumia Tsh...
1. Josephat Mwingira
Utajiri wake unakadiriwa kufikia Tsh bilioni 20
Anamiliki
Mashamba zaidi ya hekari 20,000 huko Katavi
Kiwanda cha maji Kibaha
Mashule
Na bank
Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion
2. Geo Darvie
Anamiliki magari ya kifahari
Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion...
It was a part of his healing process.
Alikuwa ana fanya therapy ya kuiponya nafsi Na akili yake Kwa trauma ya tukio la Septemba 7.(Eidha Kwa kujua au Kwa kutokujua)
Kwa kutaja madudu yote ya serikali ya awamu ya Tano, kutamka hadharani Nani aliye toa amri ashambuliwe Kwa risasi, Lissu...
Tanzania Haitakuwa Nchi ya Kwanza Hapa Duniani kwa Viongozi Ku Sacrifice Mambo Kadhaa Kadhaa kwa Ajili ya Manufaa Mapana ya Taifa na Mwananchi Wake.
1. Kambarage alipokubali na kuwashawishi wenzake kukubali kura tatu mwaka 1958 njia ya kuelekea kupata uhuru ilianza kuwa nyepesi.
2. De Clerk...
Wadau kwema?
Nawasalimu ktk jina la JMT.
Nauliza hivi hawa jamaa IPSOS bado wapo nchini hapa hususani Jijin Dar es Salaam.
Hawa jamaa zamani walikuwa wanafanya research za issues mbalimbali walikuwa wana toa temporary jobs (researcher assistant)
Wenye kufahamu anijushe, na je wapo...
Because every business is different, Franklin BMS has a variety of POS options to help you take yours where you want it to go. Whether you run a restaurant, sell retail goods, book appointments, or just need a versatile POS for whatever comes next, we have the point-of-sale software that will...
VAR SYSTEM
1. Gharama zake ni kiasi gani?
Kusimika mtambo wa VAR inagharimu £4.6M sawa na 14.5B Tsh.
2. Inaendeshwa chini ya chombo gani?
VAR Huendeshwa chini ya IFAB International Football Association Board) (Bodi ya kimataifa ya shirikisho la soka)
3. Mtu Yeyote anaweza Oparate?
*Hapana...
Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL
===
Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai.
Mtaturu ameyasema hayo...
Niende Moja kwa Moja kwenye lengo.
Tangu 2007 baada ya Serikali kuanguka kutokana na matokeo ya tume huru iliyoongozwa na kaka yangu Mwakyembe, watanzania waliaminishwa Lowasa ni mbaya sana.
Ikafikia hata baadhi ya matamko kutoka kwenye vinywa vya watoto wa viongozi wa kipindi hicho...
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu
Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania.
Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and Kenya President Uhuru Kenyatta during the Kenya-Tanzania Business forum at Serena Hotel, Nairobi, on May 5, 2021. FILE PHOTO | NMG
By LUKE ANAMI
Tanzania’s trade surplus across the East African Community region rose to $484.5 million in 2020, from...
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata Kutosikiliza hivyo Vipindi vyenu vya Michezo vya Redio.
Halafu nyie Wachambuzi wa Michezo katika...
Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine.
Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
Ripoti iliyotolewa inaonesha Tz ni namba 4 kwa uzuri duniani.
Nchi ya kwanza ni Indonesia, ikifuatiwa na New Zealand, Colombia na Mexico. Kenya wameingia kumi bora pia kwa kushika namba 6.
https://nairobinews.nation.co.ke/kenya-ranked-sixth-beautiful-country-in-the-world/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.