tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  2. JamiiForums Tanzania Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

    Wakuu Kwema! Ifuatavyo ni orodha Rasmi ya Watu wanaopitia Maisha Magumu katika nchi yetu ya Tanzania. 1. Single Mother. Moja ya kundi linalopitia maisha magumu hapa nchini Tanzania ni Dada zetu waliopata watoto kabla ya kuolewa. Ugumu wa maisha yao unatokana na mtazamo wa jamii dhidi Yao, pia...
  3. JamiiForums Tanzania Embolization Tanzania inafanyika wapi na ni bei gani.

    Nahisi nina testicle varicocele (mishipa ya korodani kuvimba) sija fanyiwa uchunguzi bado lakini kwa asilimia nyingi nahisi ndio hiyo. Nauliza hospital ipi nzuri kwa ajili ya kupima na matibabu yake ni sh. Ngapi?
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata msaada wa Tsh. Trilioni 1.15 kutoka Ulaya

    Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) imetoa Msaada wa Euro Miliono 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya Maendeleo Fedha zilizotolewa zinatarajiwa kutumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kipindi miaka mitatu ijayo na Serikali imeainisha kutumia Tsh...
  5. JamiiForums Tanzania Wachungaji/Maaskofu/Manabii 10 matajiri sana Tanzania

    1. Josephat Mwingira Utajiri wake unakadiriwa kufikia Tsh bilioni 20 Anamiliki Mashamba zaidi ya hekari 20,000 huko Katavi Kiwanda cha maji Kibaha Mashule Na bank Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion 2. Geo Darvie Anamiliki magari ya kifahari Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu za Kisayansi kwanini Tundu Lissu alikuja Tanzania kugombea Urais mwaka 2020

    It was a part of his healing process. Alikuwa ana fanya therapy ya kuiponya nafsi Na akili yake Kwa trauma ya tukio la Septemba 7.(Eidha Kwa kujua au Kwa kutokujua) Kwa kutaja madudu yote ya serikali ya awamu ya Tano, kutamka hadharani Nani aliye toa amri ashambuliwe Kwa risasi, Lissu...
  7. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Huu uzi ni kwa wakongwe tu, wadogo zetu njooni mle maarifa Mimi naanza na Alphonse Modest, endelea na wewe
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa Nchi ya kwanza Duniani kwa Viongozi ku-sacrifice mambo kadhaa kwa ajili ya manufaa ya Taifa na Wananchi wake

    Tanzania Haitakuwa Nchi ya Kwanza Hapa Duniani kwa Viongozi Ku Sacrifice Mambo Kadhaa Kadhaa kwa Ajili ya Manufaa Mapana ya Taifa na Mwananchi Wake. 1. Kambarage alipokubali na kuwashawishi wenzake kukubali kura tatu mwaka 1958 njia ya kuelekea kupata uhuru ilianza kuwa nyepesi. 2. De Clerk...
  9. JamiiForums Tanzania Je, IPSOS Tanzania bado wapo?

    Wadau kwema? Nawasalimu ktk jina la JMT. Nauliza hivi hawa jamaa IPSOS bado wapo nchini hapa hususani Jijin Dar es Salaam. Hawa jamaa zamani walikuwa wanafanya research za issues mbalimbali walikuwa wana toa temporary jobs (researcher assistant) Wenye kufahamu anijushe, na je wapo...
  10. JamiiForums Tanzania Point of sale solutions to fit your business - Tanzania

    Because every business is different, Franklin BMS has a variety of POS options to help you take yours where you want it to go. Whether you run a restaurant, sell retail goods, book appointments, or just need a versatile POS for whatever comes next, we have the point-of-sale software that will...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Gharama ya Kufunga Mfumo wa VAR, Tanzania bado sana hatuwezi

    VAR SYSTEM 1. Gharama zake ni kiasi gani? Kusimika mtambo wa VAR inagharimu £4.6M sawa na 14.5B Tsh. 2. Inaendeshwa chini ya chombo gani? VAR Huendeshwa chini ya IFAB International Football Association Board) (Bodi ya kimataifa ya shirikisho la soka) 3. Mtu Yeyote anaweza Oparate? *Hapana...
  12. JamiiForums Tanzania A wedding in Tanzania

  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtaturu: Gharama za ATCL ndani ya Tanzania ni kubwa kuliko zile za Dubai

    Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL === Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai. Mtaturu ameyasema hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Propaganda ni mbaya sana, imepotosha Watanzania

    Niende Moja kwa Moja kwenye lengo. Tangu 2007 baada ya Serikali kuanguka kutokana na matokeo ya tume huru iliyoongozwa na kaka yangu Mwakyembe, watanzania waliaminishwa Lowasa ni mbaya sana. Ikafikia hata baadhi ya matamko kutoka kwenye vinywa vya watoto wa viongozi wa kipindi hicho...
  15. JamiiForums Tanzania Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

    Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS, Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao? Naombeni msaada tafadhali.
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuanza kuzalisha ndege za watu wachache

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania. Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania records trade surpluses in both EAC and SADC

    Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and Kenya President Uhuru Kenyatta during the Kenya-Tanzania Business forum at Serena Hotel, Nairobi, on May 5, 2021. FILE PHOTO | NMG By LUKE ANAMI Tanzania’s trade surplus across the East African Community region rose to $484.5 million in 2020, from...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Mpira katika Redio za Tanzania tutaanza Kuwadharau sasa, Goli la Yanga SC lilikuwa halali kwa Uzembe wa Kipa

    Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata Kutosikiliza hivyo Vipindi vyenu vya Michezo vya Redio. Halafu nyie Wachambuzi wa Michezo katika...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kuzalisha chanjo zake za COVID-19

    Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine. Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania namba 4 kwa uzuri duniani(4th beautiful country in the world).

    Ripoti iliyotolewa inaonesha Tz ni namba 4 kwa uzuri duniani. Nchi ya kwanza ni Indonesia, ikifuatiwa na New Zealand, Colombia na Mexico. Kenya wameingia kumi bora pia kwa kushika namba 6. https://nairobinews.nation.co.ke/kenya-ranked-sixth-beautiful-country-in-the-world/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…