Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Teodoro Nguema Obiang Mangue ni makamu wa pili wa rais wa Guinea ya Ikweta - na wakati huo huo ni mtoto wa rais. Baba yake, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ametawala nchi hiyo tangu mwaka 1979.
Wakati huo huo mtoto wake wa kufikia, Gabriel Mbega Obiang, ni Waziri wa mafuta. Kampuni ya mafuta ya...
JOB VACANCIES
Click on each job to read full details and apply/BONYEZA kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply:
1. Project Director- (1 Post)
2. Business Analyst- (1 Post)
Jhpiego offers competitive salaries and a comprehensive employee benefits package including: medical and dental...
Niwapongeze wizara ya afya na Ustawi wa jamii kwa kutambua mchango wa TIBA ASILI (SIO MBADALA) kama sehemu ya mfumo wa afya Tanzania na nia yao ya kuonesha kuwa tiba zetu za asili ambazo zimekuwepo miaka mingi zinaweza kuwa sehemu ya ubunifu na msaada mkubwa nyakati za milipuko na nyakati za...
JOB VACANCIES
Click on each below to read full details and apply/ BONYEZA kila moja hapo chini kusoma maelezo kamili na kuapply:
1. Administrative Assistant- (1 Post)
2. Accounting Technician - (1 Post)
3. Project Accountant- (1 Post)
4. Supervisory Voucher Examiner- (1 Post)
CLOSING DATE...
Ndio mwendo huo huo.
KCB Group has made a formal application to the regional competition watchdog to be cleared for the Sh4.4 billion ($40 million) deal in which it is seeking to acquire two banks in Tanzania and Rwanda.
Comesa Competition Commission said in a notice dated last week Monday...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu jamiiforums.
Polisi Tanzania, kwani hamuwezi kufanya patrol kwa kutumia "Unmanned Aerial Vehicles" almaarufu kama "Drones" zinazouzwa kwa bei rahisi?
31 AUGUST 2020: Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania SACP David Misime, aliwahi kusema kuwa...
Yaani wamebarikiwa sana na mwenyezi Mungu. Ukiangalia predicted rainfall patterns ya East Africa utagundua kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopokea mvua katika kila corner ya Tanzania. Nchi zingine hazipokei mvua katika kila kona. Lakini 100% ya Tanzania inapokea mvua. Sasa ni kwa nini...
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini...
Silas Lucas Isangi , ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Makamu wake ni John Bayo.
Huku Wajumbe wa Kanda wakichukua...
1. Kaskazini : Alfredo Shahanga
2. Pwani : Robert Kalyahe
3. Magharibi : Amon David Mkoga
4. Nyanda za Juu : Lwiza John
5. Kanda ya Ziwa : Donald Ramadhani...
Habari wana historia wa JF na wadau mbalimbali,
Binafsi nimekua nikiwaza sana ni kwanini walichagua jina la Tanganyika wakati kulikua na ziwa Victoria ambalo ni kubwa kuliko ziwa Tanganyika lakini pia kulikua na mlima Kilimanjaro ulio mrefu zaidi barani Afrika. Licha ya hivo kulikua na mbuga za...
Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa
Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa...
Mabibi na mabwana tumwogope mola aliyetuumba sisi na wote wanaoitwa binadamu. Misahafu ya kikristo inatambua:
"Kumpenda jirani yako kama nafsi yako."
kuwa ndiyo amri iliyo kuu.
Hivi tutajibu nini Akhera sisi kwa udhalimu tunaowatendea wengine?
Leo tumefikia mahali pa kutumia nguvu...
Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982.
Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982.
Punguzo hilo la thamani linaakisi...
JOB VACANCIES
Click on each below to read more and apply/Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply:
1. Formal Education Officer- (1 Post)
2. Non Formal Education Officer- (1 Post)
Deadline for application is 4th Februari 2021.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.