Wasalaam,
Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali...