Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Wakati klabu ya AS Roma inatoa salamu za pole kwa Watanzania kwa kutumia lugha ya Kiswahili, Wabongo wengi tulikuwa na hamu ya kujua ni Mtanzania gani mwenzetu alopewa hilo shavu uko Rome Italy.
Ajabu wadukuaji wakatudukulia; Mkenya ndio amekamatia hiyo nafasi, mimi kama mimi nikaanza kuwaza...
Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania.
Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tanzania kinyume na mkataba.
Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa.
UTANGULIZI:
Kwa mara nyingine tena kumejitokeza “kamgogoro baridi” kati ya Kenya na Tanzania kanakofikirisha sana. Nimeona baadhi yetu tumekua wepesi kuilaumu serikali yetu kwa uharaka kutokana na kwa uamuzi "wa kibabe" wa kuifutia Kenya Airways kibali cha kuingia kwenye anga la Tanzania...
NARUDIA TENA :- WATANZANIA WAKENYA WASIWASUMBUE.
Na Thadei Ole Mushi.
Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa...
Tanzania na Kenya wafafanua suala la kuzuia Ndege
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA), Hamza Johari, amesema kuwa sababu iliyopelekea na wao kuzizuia Ndege za Kenya kutua nchini ni baada ya nchi hiyo kuzuia ndege za Tanzania kutua kwao na kuongeza kuwa hali ya namna hiyo ni...
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania.
Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for...
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada.
Kenya na Tanzania ni mataifa mawili ambayo ni distinct sovereign states. Jambo la heri kabisa katika mstakabala wa kuishi kwa utengamano na kufahamiana.
Kama taifa kila moja lina haki zote katika nchi yake.
Kwa hakika ni ujinga uliopitiliza kwa...
Salaam Wakuu,
0911HRS: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hajatokea Mahakamani kama ilivyotarajiwa kwenye kesi inayomkabili namba 123 ya 2017 mbele ya Hakimu Mheshimiwa Enock Matembele.
Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi...
Kwa wiki hizi chache niliamua kusitisha shughuli zangu za kuuza mikate stand ya Ubungo na kuanza kuzunguka mikoa mbalimbali kukusanya maoni ya raia mbalimbali kuhusu mwenendo wa nchi hususan katika awamu hii ya tano.
Niliwahoji kwenye daladala, bodaboda, vijiwe vya story, wafanya biashara wa...
July 31, 2020
Rais John Magufuli na mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni wamekubaliana kurejesha kwenye Ikulu zao mchakato wa kutandaza bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki.
Bomba hilo linaloanzia Hoima, Uganda na kuishia Chongoleani, Tanga nchini Tanzania, limekwama baada ya kuwepo kwa...
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya...
Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye...
Ethiopia Ni chanzo kikuu Cha maji ya mto Nile, pamoja na Uganda na Tanzania kwa kiasi fulani. Misri na Sudan Ni nchi ambazo zinategemea maji ya mto Nile kwa kunywa, matumizi ya nyumbani, kilimo, ufugaji na viwanda.
Vita kamili inanukia Kati ya Ethiopia na Misri kupigana kwaajili ya matuzi ya...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Tunaposhukuru kwa kila jambo hatuna budi kuyakubali yote yanayotusibu, mazuri na hata mabaya tusiyokuwa na uwezo nayo. Hata hivyo si kwa yale yaliyo ndani ya uwezo wetu.
Majuzi kati tumeondokewa na mzee wetu Rais mstaafu (RIP)...
On 28th May, 2020, His Lordship Mlyambina in the case of *Judith Patrick Kyamba Vs Tunsume Mwimbe, Probate and Administration Cause No. 5 of 2016* held that a child born out of wedlock is entitled right to inherit estate of his father even after he attains the age of majority of 18 years or...
Wana jf, nimatumaini yangu jukwaa letu pendwa la jf haliwezi kukoswa watu wa takukuru ambao siku hizi ndio kimbilio na mkombozi kwa watanzania wanyonge.
Takukuru nawaomba muwachunguze TCRA na makampuni ya simu yote.
Hii ni kwasababu kumekuwa na wizi mkubwa kwa wateja wanaotumia mitandao ya...
Chief of Party, Tanzania Horticulture
ID 2020-1806 # of Openings 1
Post End Date 8/31/2020
Category Field - Chief of Party/ Program Director Country Tanzania
Overview
The mission of Global Communities (formerly CHF International) is to create long-lasting, positive and community-led change...
Habari wadau wa biashara na ujasiliamali.
Labda nitangaze interest. Nimefungua biashara yangu ambayo inahitaji sana kupokea malipo ya awali kabla ya kutoa huduma na nikaifikiria PayPal.
Katika mapitio yangu inaonekana Tanzania haijaanza kutumia huduma hii rasmi.
Kwa kutambua hilo naomba kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.