Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

cblhbn

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
393
Reaction score
494
Screenshot_20200807-203456.png
 
Watu wanashindia na kulalia muhogo na mapilipili😔😔😔. Huu kweli uchumi WA Kati.
 
Hivi hii mijitu inatuona ss wajinga....hv yanaanzaje kudanganya masuala sensitive yanayohusu maisha...mbona huu utapeli na ulaghai hauna uhalisia kwenye maisha ya watu.Hivi kweli awamu hii pato la mwananchi liongezeke kivipi.Najua bado kauli ya kikwete kuclarify uzushi wao inawauma hvy jiwe analitumia hili jamaa
 
Sisi wanaccm tutaamini vipi kama pato la taifa limekuwa?
Ilihali maisha yetu bado tunaishi chini ya Dola moja?
Kwani ni maisha yetu au yako rekebisha kauli mkuu
Sisi wanachadema tunaishi vizuri zaidi ya dollar moja
 
uchumi kukua mara 2 kati ya 2015 - 2020 kimahesabu ni sawa na kusema umekua kwa 100%!

twende taratibu na hii hesabu maana mi naona nyota nyota tu hapa.

ili uchumi ukue kwa 100% kwa miaka 5 tafsiri ya haraka ni kwamba wastani wa ukuaji uchumi wetu kwa mwaka ni 20%.

sasa hii takwimu ya waziri Mpango ya uchumi kukua kwa wastani wa 7% kwa mwaka kaitoa wapi?

au tuna serekali 2 tofauti?
 
Back
Top Bottom