Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

Kama ukuaji wa hilo pato haureflect kwenye mifuko ya wakulima, wafanyakazi na machinga, huu ni ubatiri mtupu.

Pato hilo labda limedouble kwenye wallet ya Abbas maana yeye ni mmoja wa watu wachache sana Tanzania wenye ajira mbili
 
Dr Abbas anahitaji atafute Wazee wampe tafsiri ya dongo la Mzee Mwinyi la kusema watu zamani walikuwa wanatembea peku lakin ck hz wote wana viatu na issue ya kuwa walitoka kwny kutembea peku sio issue tena

Ck hz tunajadili aina ya viatu alivyo vaa mtu lakin zaman hoja ilikuwa kavaa viatu au yuko peku?
 
Ni kweli limekuwa kwa kiasi kikubwa hasa kwenye taasisi za serikali, sisi sekta binafsi limeporomoka kwa kasi ya ajabu.
Tunaiomba serikali iangalie sekta binafsi kwa jicho la kizalendo 2020-2035.
 
Screenshot_20200808-134238.png
 
Back
Top Bottom