Wakili Msomi Kibuta Ongwamuhana amefariki akiwa anapatiwa Matibabu Nchini Afrika ya Kusini.
Katika Wanasheria walioisumbua Serikali ya Tanzania kipindi cha miaka mitano iliyopita ni Mzee Kibuta ..huyu Mzee alikuwa mtata sana
PROFILE YA WAKILI MSOMI KIBUTA
DR. KIBUTA
Chairman
Dr. Kibuta...
Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,
(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.
Msiba huo umetokea ikiwa...
Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu.
---
Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006, kilichotokea jioni ya leo tarehe 16.09. 2021. Tunatoa pole kwa familia, Chuo chetu na Tanzania...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi leo ameongoza mazishi ya Jaji Haji Omar Haji huko mkoa wa Mjini Magharib Unguja Zanzibar.
Jaji Omar Haji
Mazishi yalihudhuria halaiki kubwa ya watu pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali, mahakama na vyama vya...
Mkurugenzi mstaafu wa makosa ya Jinai DCI Robert Manumba amefariki dunia usiku huu.
Taarifa zaidi zitakuja hivi punde
===
Katika utumishi wake ndani ya Jeshi la Polisi amefanya kazi katika nyadhifa mbalimbali zikiwemo Chumba cha kupokea mashtaka kuanzia mwaka (1976 – 1977), mwendesha...
Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho.
Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi...
Tajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es salaam.
Bwana Fredy alifikishwa hospitalini hapo wiki tatu zilizopita akiwa anasumbuliwa na pressure...
Aliyewahi kuwa Mtangazaji maarufu wa Radio free Afrika na Star Tv, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7.
Atakumbukwa zaidi katika vipindi mbali mbali alivyojipatia umaarufu ikiwemo Mambo Mambo na RFA pamoja na Asili ya Mtanzania kupitia Star Tv.
Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa.
Je, ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe?
Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ.
Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
====
Prof. Mayo Amefariki Dunia Mkoani Dar es Salaam katika...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere.
====
SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa...
Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi
Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko
Freeman Mbowe ametuhumiwa...
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira amefariki dunia leo July 22, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha. Mama Mgwira alistaafu ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mei mwaka huu na alikabidhi ofisi kwa mrithi wake, Kigaigai Mei 27 mwaka huu wa 2021
Anna...
Nasikitika sana kuwatangazia kifo cha mwanajamiiforums Paul Buchira Katamuzi sijajua kuwa humu alikuwa anatumia jina gani ila alikuwepo na mara nyingi alikuwa anaizungumzia ofisi yake {CATAUX COMPUTER} iliyokuwa inahusika na ufundi kompyuta ama simu na uuzaji wa vifaa vya simu na kompyuta...
Peter Richard Mwendamseke alikuwa kijana mjasiriamali, akijikita zaidi kwenye mifumo wa mawasiliano.
Pia Peter Richard Mwendamseke alikuwa ni mdau mkubwa wa burudani na michezo.
Hakika wana Mbeya wamempoteza kijana wao mahiri.
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema. Amina
Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha...
Aliekuwa mgombea ubunge kupitia hatua za awali za kupata kupeperusha bendera ya c.c.m Musoma mjini Dr. Kayombo afariki ktk hospital ya Mkoa wa Mara alfajiri alipokuwa akipata matibabu.
Kayombo the Dr. alikuwa maarufu sana pale alipoimbwa na mwanamziki Bestnaso!
Kesho mwili utasafirishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.