tapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi ya kumjua tapeli kabla hajakupiga: Dalili za mawinga walafi

    Wadau wa Jamiiforums, poleni na mihangaiko ya kutafuta tonge! Kama hujawahi kupigwa kwenye biashara, basi ama wewe ni mjuzi wa hali ya juu, ama bado hujaingia kwa kina kwenye soko la Bongo! Wale ndugu zetu wa Kariakoo, Sinza, Tegeta na hata wale wa mikoani wanajua, "biashara ni akili" lakini...
  2. Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  3. Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha. Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
  4. Wakati yanga wana screen protector(Diarra) simba mkaleta tapeli na kulipa jina spider.

    I salute you kinsmen. Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye. Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali max ni role model wake why huyo tapeli camara asikubali kuwa diarra ni role model wake? Ifike muda...
  5. Robert Kiyosaki wa Rich Dad, Poor Dad ni tapeli?

    Nimeangalia video moja Youtube inamuelezea kamajamaa ni magumashi sana. Sehemu kubwa ya pesa anazopata ni kupitia semina anazotoa akichaji dola 12K hadi 45K, na si kupitia biashara ya Real Estate kama anavyodai. Pia japo anasifika kwa kuandika kitabu hicho lakini hasa aliyefanya kazi ni...
  6. Nilitapeliwa mpaka nahisi Dar es Salaam kila mtu ni tapeli

    Ujue katika mapambano ya kutafuta maisha hasa kwetu vijana huwa tunajitahidi kupita maeneo mbalimbali kurisk ili mambo yetu yatuendee vema. Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilishawahi pita maeneo tofauti tofauti na kote huko nilipata experience mbalimbali zilizonikomaza kifikra na...
  7. Nestory Bingwa, mganga tapeli aliewatapeli wasouth na kukimbilia Canada kuishi

    Habari zenu wana JF wenzang, Leo nawaletea kisa cha ndugu yetu Nestory Bingwa, ambae ni mjomba wangu kabisa wa kuzaliwa na mama yangu mzazi. Huyu bingwa ni miongoni mwa watanzania wachache sana waliowahi kuingia nchi hii kitambo sana, kabla hata muasisi wa taifa hili hajaachiwa huru. Baada ya...
  8. Ni muda wa Tapeli wa kisiasa kutumiwa na CCM.

    Alianza Makala (Katibu wa Itikadi CCM) kutabiri "laja varangati la haja ndani ya Chadema." Na kweli utabiri huo umetimu. Uzuri wa CCM hukutumia na wakijridhisha huna madhara-wanakutupa kama ganda la ndizi. Sasa, kama walivyopata kutumika waliopita, ndivyo TAPELI LILILOBAINIKA/LILILOJIBAINISHA...
  9. Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

    Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
  10. Mbowe ameongoza CHADEMA kwa miaka 20 sasa, hii ni demokrasia gani?

    Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
  11. K

    DOKEZO Tapeli anapigia Watumishi wa Umma na kuwaambia Taarifa zao Binafsi, anazitoa wapi? Mfumo wa ESS upo salama kweli?

    Mimi ni Mtumishi wa Umma, ninahofu na usalama wa Taarifa zangu binafsi na za Utumishi kutumiwa na watu wasio sahihi. Jumamne ya tarehe 3/12/2024 mtu mmoja mwenye namba 0768***684 ambaye baadaye nilibaini ni tapeli alijitambulisha kwamba ni Afisa Utumishi Mkoa wa Mwanza, alikuwa akiwapigia...
  12. Hiki ndicho Mwafrika alichobobea. Mambo ya kufirika fikirika. Leo atagundua Kiboko ya wachawi ni tapeli kesho anaenda kwa kiboko ya majini

    Maisha yaendelee...
  13. Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  14. M

    Serikali mfuatilieni huyu Mchungaji Mashimo, anadaiwa kuwa Tapeli

    Hata kama serikali haina dini lakini sio vema KURUHUSU UHOLELA UNAOPITILIZA. Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha. Pia idadi kubwa ya watu hawana elimu na hawana uwezo wa kuchanganua utapeli na ukweli. Sasa sio vema Serikali kukaa kimya na...
  15. Je, Watanzania tumeridhika kabisa na Dharau, Kejeli na Matusi anayotufanyia sasa Tapeli wa Kiimani 'Kiboko ya Wachawi' akitokea huko Kwao Congo DR?

    Sasa ni rasmi Watanzania wachache waliokuwa Wakimuamini wametuponza mno Watanzania wote kwa anayotufanyia.
  16. 'System' ya Tanzania ingekuwa Imara kwa Dharau na Matusi ambayo Tapeli wa Kiimani Kiboko ya Wachawi anatufanyia Watanzania hivi sasa angekuwa Historia

    Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani...
  17. Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

    I salute you kinsmen Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR. huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga...
  18. D

    Graphics designer mpya wa Yanga ni tapeli, hajui kudesign wala kuedit

    the new young Africans graphic designer should be fired. what is this design?? nani ana ajili hawa watu??? angalia graphics zake. big brand what Is this??
  19. Mmh! Sio tapeli huyu?

  20. Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…