Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
Nikiwa Mbeya 2022 nilifahamiana na bwana mmoja tuliyekuwa tunamuita ngosha lakini baadae nilitambua anaitwa Katemi. Huyu mtu nilifahamiana naye baada ya kuwa tunaonana mara kwa mara sehemu ambayo nilikuwa napenda kushinda ni mtu ambaye tulikuwa tunaheshimiana na ni mtu mzima.
Kwa muonekano...
Utakatishaji wa fedha, au utapeli, ni vitendo vinavyohusisha utumiaji wa mbinu zisizo halali kuficha asili ya pesa au mali zilizopatikana kwa njia isiyo halali. Hii ni aina ya uhalifu wa kiuchumi ambao husababisha uharibifu mkubwa kwa uchumi wa nchi.
Uongo ni kitendo cha kutoa taarifa zisizo za...
Aisee tujihadhari na huu wizi,
Leo Nikiwa ofisini namba +255694480796
Ikanipigia Ile napokea tu jamaa akajitambulisha ni mwalimu magunga shule ya msingi ameomba namba yangu hapo kwa mtu,
Ananiomba nimpe namba ya kijana wa piki piki ninayemuani chap ana haraka sana!
Basi Mimi Bila kuwaza...
Afisa wa Benki na tapeli mahiri wa Urusi Sergey Grishin amefariki dunia nchini Marekani, akiwa na umri wa miaka 56. Grishin alikiri mwaka 2018 kuwa ndiye aliyepanga mpango wa kuzihadaa benki za Urusi mabilioni ya dola.
Grishin alilazwa hospitalini kufuatia tatizo la ubongo mwezi uliopita, na...
NILIVYOMKOMESHA TAPELI WA VIWANJA KIVULE
Habari zenu wadau wa JF!
Leo nami nimeonelea niwasimulie kisa changu jinsi nilivyomkomesha tapeli maarufu wa viwanja maeneo ya Kivule ajulikanaye kama Juma Kasangu,mnamo mwaka 2014 mwanzoni nikiwa katika harakati zangu za kutaka kujipatia eneo...
Hapo vip!!
Nimekuwa najiuliza swali dhidi ya uwezo na mapenzi ya shetani kwa wafuasi wake najikuta naona shetani ni tapeli na muongo.
Najiuliza kama kweli shetani anauwezo wa kushindana na Mungu.
Mbona Mungu baba Jehova(bwana wa Majeshi au bwana wa mabwana)alivyoamua kuwapiga kiberiti wale...
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri.
Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi...
Gabriel Kaserikali Mkazi wa Mbezi Mwisho, Dar es salaam anatuhumiwa kumtapeli Mohamed Nassoro mfanyabiashara wa magari wa Magomeni Dar es salaam kwa kujitambulisha ni mtumishi kutoka Idara hiyo
Akiwa Iringa alijitambulisha kwa baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Iringa kuwa yeye ni Afisa...
Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar.
Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu na anatapeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu...
Ni kumchana live tu.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.
Mnakumbuka story ya Raia Mwema
- Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu
Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu.
Doreen aliolewa April 2012, ndoaya kikatiki na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata...
Wakuu kuna mtu anatumia hii namba +255784686681 kutuma sms kwenye simu mbalimbali na kujifanya yeye ni ofisa wa jeshi la wananchi kwamba kuna nafasi zimetoka apigiwe simu, ukimpigia na kumhoji maswali akishagundua umemstukia unaishia kuambulia matusi. Namba imesajiliwa kwa jina la Gervaz Lyeiza
Kumekuwa na tabia kwa baadhi ya mawakili kuwatapeli wananchi kwa sababu ya kutojuwa sheria na mawakili hawa kuutumia umbumbumbu wa sheria wa wananchi kuwafanyia matendo ya dhulma badala ya kuwapa elimu.
Sasa nauliza TLS wana kitengo kama una malalamiko na uadilifu wa wakili fulani kwenda...
Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa,
Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili akupige mpunga mwingi,
Naanza mimi:-
1. Ukimpiga denda tu anaanza kutoa miguno - broh huyo demu ni...
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
"Sina muda wa kukaa kwenye Mdahalo na yeye (Bulembo), simuwezi, historia yake inajulikana si tu ni Mhuni bali tapeli. Kubwa alilofanya ni kutudhoofishia Taasisi ile (Jumuiya ya Wazazi ya @ccm_tanzania ) " @hpolepole https://t.co/y8F1t3J0Y9
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.
"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.