tapsea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kwa TAPSEA: Huu ni mwaka wa kumrudisha mama ili tuendele kufanya mambo yetu. Nendeni mkajiandikishe!

    Wakuu, Hii sio kampeni kweli? Leo Rais Samia amepiga simu live kwenye mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association ambapo Makamu wa Rais Philip Mpango alikuwa ni mgeni rasmi. Rais Samia akiwa anaongea na hao wana TAPSEA aliwahasa watumisi hao wakajiandikishe ili aweze kumrudisha...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Haya maadhimisho ya TAPSEA ni kikao cha CCM? Kikao kimetawaliwa nyimbo za Samia tu

    Wakuu, Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa. Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…