PreGE2025 Video: Haya maadhimisho ya TAPSEA ni kikao cha CCM? Kikao kimetawaliwa nyimbo za Samia tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.

Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.

Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?

Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?

Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?

Kama Watanzania tuna safari ndefu sana. Heri hata wakati wa wakoloni weupe, hawa wakoloni weusi ni tabu tupu.
 
Wakuu,

Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.

Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.

Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?

Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?

Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?

Samia ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwahiyo hao TAPSEA wana haki ya kumsifia kutokana na mambo mazuri anayoendelea kuifanyia Tanzania na wao TAPSEA wakiwa sehemu ya wanaufaika wa mipango ya serikali, kuisifia serikali yao ni haki yao.
 
Wakuu,

Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.

Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.

Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?

Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?

Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?

Wanampigia kampeni mwenzao aliyebahatika kuokota apple chini ya mkungu, nao wanaamini hata wao kesho wanaweza kuwa "vigogo".
 
Wakuu,

Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.

Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.

Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?

Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?

Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?

​
Wameweka picha ya mh rais Samia kwa sababu mkutano huu mama Samia ndiye alitarajiwa kuwa mgeni rasmi.

Lakini imeshindikana kutokana na kuwa na mgeni ambaye ni rais wa Finland ndipo akamtuma Makamu wa rais amuwakilishe katika mkutano huu wa TAPSEA

Lakini mama Samia anasifiwa kwa sababu yeye ndiye mlezi wa TAPSEA na kuna mambo mengi mazuri ambayo kawafanyia TAPSEA na watanzania kwa ujumla na kuna mengi mazuri ambayo Rais anatarajia kawafanyia watanzania kwahiyo wao TAPSEA kumsifia rais hakuna ubaya wowote.
 
Nadhani ni shehe wa bakwata wilaya ya arumeru na askofu wa kkkt sasa nadhani viongozi wa dini hawawezi kuwa wapayukaji.
Asante kwa ufafanuzi.Wako vizuri.
Nakala ya huu ufafanuzi imfikie Askofu Mpayukaji wa KKKT Askofu Bagonza na Baraza la Maaskofu katolikinTEC,Akina Askofu Mwamakula na Mwanamapinduzi ,Shehe Ponda nk waige hao viongozi wa dini pichani kwenye video
 
Wakuu,

Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.

Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.

Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?

Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?

Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?

Usipate vidonda vya tumbo sababu ya Mambo yasiyokuhusu
 
Nadhani ni shehe wa bakwata wilaya ya arumeru na askofu wa kkkt sasa nadhani viongozi wa dini hawawezi kuwa wapayukaji.
Vizuri hii video ipewe tuzo ya mpiga video bora ina somo kubwa mno

Kuwa viongozi wa dini wanatakiwa ku behave vipi kwenye mambo ya siasa

Hiyo video inatakiwa isambazwe kwenye dini zote ikianzia kwenye baraza la Maaskofu Katoliki, kwa maskofu wote KKKT, Pentecoste,Mitume na Manabii.nk
 
Wakuu,

Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.

Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.

Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?

Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?

Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?

Shida iko wapi kumsifia mfadhiri wa mkutano? Hata chadema mkiitisha mkutano mkawapa wajumbe posho mlima watamsifia rais wa 2025 tundu Lissu tuu.
 
Huo mkutano ulikuwa ni wa CCM au mkutano uliowahusisha WATUMISHI WA UMMA ambao WANAPASWA kuhudumiwa WATANZANIA wote regardless ya itikadi za vyama vyao?

Wapi wamesema huo mkutano ni wa CCM?
 
Back
Top Bottom