Kuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.
Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu...
Ukisikia tamu chungu au sikio la kufa halisikii dawa ndio huku sasa. Toka mwezi July sikio la upande wa kulia linauma. Kichwa kinauma muda mwingi ajili ya kuvaa earphones kila wakati ila sikomi.
Nahisi kansa ya ubongo ndio inaninyemelea kutokana na maumivu nayopata upande wa kisogoni. Lakini...
Habari wana JF
Mimi nilifunga ndoa ya bomani, ila ndoa yangu iliingia doa na uwezekano wa kurudiana imeshindikana.
Nilikua naitaji kujua taratibu za kuvunja ndoa za bomani, maana sheria inataka ndoa za Kiislam tu ndio zivunjwe mahakamani, ila za Kikristo na za bomani hazijazungumziwa.
Asanteni.
Kufuatia mapinduzi ya mwaka 1989 yaliyomweka madarakani rais wa Sudan aliyeondolewa madarakani Al Bashir, sasa atashtakiwa kwa makosa ya kuhujumu mfumo wa kidemokrasia. Endapo atatiwa hatiani, basi hukumu yake ni kifo au kifungo cha maisha jela.
Hii ni taa nyekundu kwa CCM wanaovuruga mfumo wa...
CHONDE VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI - HISTORIA INAWASUTA.
"Viongozi wa dini kuhamasisha watu kupiga kura wakati huu, ni sawa na kuchochea chuki"
Hali ya maisha katika nchi za mashariki ya kati ndio mfano halisi wa mambo makuu matatu yanayoweza kumfanya binadamu aamue kwa hiari yake kuondoa...
PAROKIA YA MT. MIKAELI KAWE, DAR ES SALAAM
Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki
Tarehe 04 Novemba 2019
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam, Juda Thaddeus Ruwaichi, ambaye ndiye Askofu mwenye mamlaka na Paroko wa Parokia ya Kawe...
Kwa haya machache tunayoyaona, Rais wetu anavunja taratibu na kanuni waziwazi, vipi kwa tusiyoruhusiwa kuona? Tutazame haya machache:
1. Nafasi 10 alizopewa kuteua wabunge alivunja katiba tukapiga kelele mmoja akajiuzulu kisha kupewa ubalozi. Hata hivyo kujiuzulu kwa huyo mmoja hakukumoondolea...
Leo akiingia kuchangia 'kiuchambuzi', mchambuzi Oscar Oscar alianza kwa kutoa kicheko cha 'kinafiki' kisha akahoji, je madeni yameshalipwa? Watangazaji wenzake wote studioni wakaanza kuangua kicheko ambacho kinaonesha kabisa kuwa ni 'kijembe' kwa wale waliowakimbia.
Juzi tena kuna Mtangazaji wa...
Msaada wa pendwa cheti changu cha Diploma kimungua kwa ajari ya moto, nimekwama baada ya kushindwa kupata muongozo kutoka kwenye website ya NACTE. Ni kiasi gani cha fedha na muda wa kupata hicho cheti mbadala ni upi?
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.
Tunafahamu kuna ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.