CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.
"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya...
Sasa hivi ni very late kuzungumza kuhusu maswala haya. Ukiandika saa hizi zinatokea spelling errors nyingi.
We will discuss it the morning. Lakini wale wanasema watafanya mkutano bila ruhusa ya Polisi; hii sasa itakuwa mwanzo mwingine tena wa duru ya sarakasi.
Kwa nini Sauti ya Watanzania...
Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November.
Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
Inaumiza sana,
Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari.
Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
Wengi wetu miaka 21 nyuma tarehe kama ya leo tunaikumbuka siku hiyo tukiwa na umri tofauti na majukumu tofauti. Wengi wengine walikuwa baddo hawajazaliwa au walikuwa wadogo sana kiasi hawajaelewa kilichotokea lakini leo hii hakiwaodoshei kutojuielewa siku hiyo.
Binfasi naikumbuka siku hiyo na...
Nauliza kwa kifupi tu, kuna tatizo gani leo, maana network inapatika kwa dakika chache tu kisa inakata masaa.., whats going on?!
=========================
Update:
Tatizo linazidi kuwa kali zaidi, masaa mawili mfululizo ‘NO SERVICE’. Ndio network imerudi sasa hivi.
===========================
Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023
Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika
Mikoa mingine ni Dodoma...
Fikiria Taifa la Pakistan ambapo Jamii ya Waislam ndyo wengi takribani 98% wakati Wakristo ni asilimia 1.5% tu, halafu bado Jamii hiyo ya Waislam walio wengi hawaonyeshi huruma hata kidogo kwa wenzao ambao wingi wao ni kama tone la maji kwenye ndoo ya lita 20.
Kwa taarifa tu ni kwamba nchi ya...
Nyota huyo wa Muziki wa R&B kutoka Marekani, amesema albam itaitwa "11:11" na itakuwa na nyimbo 11, tofauti na ilivyozoeleka katika albamu zilizopita ikiwemo 'Heartbreak' on a Full Moon, Indigo iliyokuwa na nyimbo 57.
Breezy amesema licha ya mashabiki zake kutaka albam yenye nyimbo nyingi...
Ufunuo 12:1
"Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!"
Luka 1:26
"Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya, kwa msichana mmoja...
1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC
2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC
3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo
4. Yanga SC Kushindwa Kesi na Wakili wa Kujitegemea Raia wa Ghana Bernard Morrison alipohamia kwa Wenye Akili Kubwa nchini Simba SC
5...
Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.
Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi...
"CAF imeweka utaratibu mpya wa Timu ambazo hazianzii hatua ya Awali Kombe la Klabu Bingwa na zipo katika zile Timu Nane zitakazoshiriki Michuano mipya ya Afrika Super Cup zenyewe zitaendelea Kusajili hasi tarehe 30 Mwezi huu wa August, 2023" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally muda mfupi...
Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo.
Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka za Mkuu wa wilaya ya Chato.
Baada ya viongozi kuwasiliana na Mkuu wa wilaya naye ameridhia tukio...
1.Miezi miwili tu baada ya hiyo tarehe kampuni ya symbion ililipwa zaidi ya billioni 349 na mafisadi kuachiwa licha ya bunge kutoa azimio symbion wasilipwe na waliohusika wafungwe.
2. Licha ya bandari ya Dares salaam kuboreshwa hadi kufikia meli kubwa ya mita 300 kuweza kutia nanga hapo lakini...
Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana.
==========
Mdau mwingine pia aliandika:
=====