GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo wote!

Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu.

Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema.

Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana.
 
Hamjambo wote!

Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana.
Naunga mkono hoja
Hii hoja pia imeletwa humu na Mkuu Mzee Mwanakijiji
Na. M. M. Mwanakijiji
Niwe wa kwanza kusema kuwa endapo TAL na CHADEMA hawatoruhusiwa kushikiri uchaguzi huu, Watanzania wajiandae kuona mwisho wa utawala wa CCM Rais Samia akiwa ni Rais wa mwisho wa CCM kuelekea 2030. Ule UNABII utaenda kutimia.

Ni kweli, tena kwelikweli.

P
 
Hamjambo wote!

Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana.
yaani ukiuke sheria kwa makusudi kabisa, utembee kila wilaya nchini nzima kuropoka na kuhubiri chuki na migawanyiko miongoni mwa waTanzania kinyume cha sheria za usalama wa taifa, kisha mtu aje hapa ati ng'we ng'we ng'we aachiwe?
weee! gentleman, kua na heshima kidogo tafadhali.

kumuachia mtuhumiwa wa uhaini kama huyo mropokaji inaweza kua kosa kubwa zaidi ya uhaini wenyewe.

Lazima ashike adabu kwa mujibu wa sheria za nchi bila huruma 🐒
 
Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Sorry mama alienda Nairobi kumtembelea yaani ilikuwa ni ziara officially au alitokea ??

Na ubeligiji alienda kumtembelea Lissu Kama ziara au ilitokea ?

Naomba ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom