gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Nyerere aliandaliwa na wakoloni Ili aachiwe nchi,hana uspesho wowote, karume alikua ikulu dar wakati mapinduzi yanafanyikaNyerere na Kawawa,Karume,Mandela, Kenyatta,Kaunda, Nkrumah nk,wangekuwa na Akili kama zako Uhuru tusingepata!
Lissu hatafuti uhuru wowote,ni muhuni tu kibaraka wa wakoloni