GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hamjambo wote!

Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana.
Hatumuachii hadi kampeni iishe na tumuapishe Rais wetu alafu msamaha wa Rais ndo utamwa hilia huru
 
Chura kiziwi ana kiburi shetani akasome.

Huyu siku tukimNepal atasulubiwa kwa kuingiziwa kitu chenye ncha kali na joto kali sehemu nyeti.
kiburi chake kimedhaminiwa na woga wetu...

hakuna mtanzania anaweza kufanya ya nepal...
 
Hamjambo wote!

Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana.
Kukosa akili ni dhambi leo ni tarehe ngapi na je hiyo tarehe 7 mmefanya nini?nawashauri mkae kimya kama hamna cha kufanya kwani hamna uwezo wowote wa kujibu kwa upande wa pili tulieni mbakwe tu
 
Back
Top Bottom