Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Ukweli ni 100% unajua kwa nini hizi shutma mimi nimehusika? ,huyu kiazi ni yeye bwashee , na hii ni akili ndogo sana
9 days to go.
Kiazi pro maxDah siamini kwamba huyo master ni kiazi namna hii š
Zimebaki siku 7
š³š³š³Menemene ndio Dr???Hapa docta alipewa vitasa akasema usinichezee ngoja nikakufungulie mafekero yangu yakushambulieš¤£š¤£š¤£š¤£ min -me muite mjomba wake dokta MENEMENE TEKERI NA PERESI aje aone mjomba wake anavyotumiaga mafekero ku attackš¤£š¤£
Cc The Icebreaker
6 days to go.... Hebu ziishe haraka tujue kama na wewe ulikuwa unatupatia matumaini hewa.
Hapana dear. Huyo ni mjomba wake Dr.š³š³š³Menemene ndio Dr???
Aaah okay nlikua nshashtuka ššHapana dear. Huyo ni mjomba wake Dr.
Wajinga na wapumbuvu mafuvu yao yatakuwa yamerudishiwa akiliNaunga mkono hoja
Hii hoja pia imeletwa humu na Mkuu Mzee Mwanakijiji
- Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
- GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
- Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
- Kwa kukamilisha yale ya mtangulizi wake, kisha kujumlisha na ya kwake anayotenda, kutomshukuru ni kujichumia tu dhambi za bure!
P