GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Île ya Dodoma nayo alikiuka sheria gani ?

By thé way yeye yupo tayari kunyongwa mbona hamfànyi ivo ?
Yes,
asubiri hiyo zawadi ya uropokaji unaokiuka sheria kwa utulivu, mayowe na maombi ya kinafiki ya nini sasa gentleman?🐒
 
Amani kwa sababu wewe unalishwa na kuhongwa wakati wengine wantekwa na kuwawa au kufa kutokana na changamoto za miundombinu huduma na uwajibikaji?
Nyie akili huwa hamna,hebu jisikilize kama hutosikia sauti ya uharo
 
relax gentleman na changia hoja bila makasiriko na kujitambulisha kwa wadau wa JF kwamba nawe ni lofa wa kisheria, na ukadhani kwa vile ni lofa basi utasamehewa kilofa lofa 🐒
Kanuni ni Ile Ile angalia wenzako kina polepole leo wanatoa milio ila awamu yao walishangilia vilio vya wenzao... Litakufika tuu hayawani
 
hizo kanuni za kishirikina waeleze washirikina wenzako gentleman 🐒
 
Jambo lolote baya, dhalimu ambalo serikali ya samia na ccm yake wanalifanya, watakalofanya dhidi ya Tundu Lissu litaliadhibu taifa hili moja kwa moja. Yaani kama vile ile laana ya mauaji ya Patrice Lumumba inavyoisumbua DRC ndio hiyoTanzania itakwenda kukutana nayo. Things won't be the same.
 
Hamjambo wote!

Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana.
Naunga mikoni, tumbo na miguu
 
Walnao mtesa tundu Lisu wala hawana haja na Tundu lisu ila wana haja na Utundulisu.Wajue kua maumi wanampa TL ila utundulisi unajisikia amani na Furaha.Wanachotesa ni Ile Nafsi yake ya ndani Ambayo inapunzi ya Mungu. Mimi niwaambie ukweli mnaweza Mkafunga Tundulisu.Lakini hutundulisu hamtaweza kuufunga wala kuua. Kwasababu hicho kitu kina nguvu ya Mungu na Mungu kakiweka kwake kwa sababu maalumu.Wanao amrisha Tundulisu Ateswe abalagazwe wao na familia zao ndiyo wanapata shida zaidi kuliko Tundulisu Aliye ndani ya nondo.Najua wao wanamuona kama Tunddulisu ni mtu wa kawaida wanaweza waka treat kama kibaka yoyote.La hasha .Lisu pamoja ni viumbe kama viumbe walioumbwa na Mungu lakini ananguvu ya ziada ambayo mtu mwingine hana.Watu huzani mbingu ipo mbali sana ila Mbingu inaweza ikawa mtu aliye pewa Kazi na fulani na Muumba Kutoka 4.:16 Mungu anamwambia Musa kuwa wewe utakuwa mfano wa Mungu na Aruni atakuwa nabii wako na Mahali popote alipo Mungu ni Mbinguni na mahali Popote Mungu alipo mkaimisha mtu wake sehemu hiyo na mtu huyo ni mbingu.Lisu ni mbingu na huwezi ukaichezea mbingu ukawa salama..Hiyo nikanuni ya ulimwengu.(universe)
 
pamoja sana🙏
 
Subiri tuone
 
Back
Top Bottom