Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Île ya Dodoma nayo alikiuka sheria gani ?yaani ukiuke sheria kwa makusudi kabisa, utembee kila wilaya nchini nzima kuropoka na kuhubiri chuki na migawanyiko miongoni mwa waTanzania kinyume cha sheria za usalama wa taifa, kisha mtu aje hapa ati ng'we ng'we ng'we aachiwe?
weee! gentleman, kua na heshima kidogo tafadhali.
kumuachia mtuhumiwa wa uhaini kama huyo mropokaji inaweza kua kosa kubwa zaidi ya uhaini wenyewe.
Lazima ashike adabu kwa mujibu wa sheria za nchi bila huruma 🐒
By thé way yeye yupo tayari kunyongwa mbona hamfànyi ivo ?