GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hio unataka kusema Serikali ndio hua inatoa zile Hukumu Mahakamani? Twaaafa

Serikali ipi kwa mfano maana Mahakama ni Huru haiingiliwi na Serikali kwenye maamuzi, haya niambie ni Serikali ipi inayotoa Hukumu Mahakamani?

Maana mimi najua Mahakama inasimama km Mahakama na Serikali inasimama km Serikali, haya sema wewee mwelevu Mahakama ipi ambayo Hukumu zake zinatolewa na Serikali na sio Mahakama yenyewe?
Nimekufatilia hoja zako
Uko sahihi na katiba imefafanua kama unavomueleza member hapo.
Wewe unasema inavyotakiwa kuwa, ila sio ilivyo
Kwenye utendaji mahakama ni chombo au taasisi ya serikali wala sio chombo huru
Viongozi wa mahakama wanateuliwa na Rais ambaye ndo kiongozi mkuu Serikalini
Watendaji wa mahakama wote wanalipwa mshahara na Serikali
JPM alipata kusema serikali ni taasisi yenye mizizi mirefu na inaendesha mihimili mwingine ya mahakama na bunge
Tuamke tudai katiba mpya
 
Upo sahihi mkuu ila utendaji wa Mahakama hautakiwi kuingiliwa na Serikali ili kuzuia km anachosema mdau hapo kwamba Hukumu zote za Mahakamani zinatolewa na Serikali sio na Mahakama, sasa km Hukumu zote zinatolewa na Serikali Mahakama ina kazi gani?

Kingine unaposema Mahakama ni tawi la Serikali hapo pia inabidi uelezee unazungumzia Serikali ipi Serikali ya Chama au Serikali ipi? Kumbuka kuna Chama na Serikali zote zinatembea Sambamba kabisa kwa hio unapoizungumzia Serikali jaribu kuongea kwa upana unaizungumzia Serikali ipi? Ndio maana nikamwambia mdau kwamba Nchi ina Mihimiri mitatu nikimaanisha kwamba ndani ya Nchi kuna institution inayotambulika km Government ndani ya hii institution kuna 3 pillars ambazo ni Executive body, Legislative body and Parliamentary body, hizo 3 pillar za Government as an institution ya Nchi husika zipo ndani ya Nchi husika maana yake Nchi ina 3 pillars ambazo zimehifadhiwa ndani ya institution inayotambulika km Government

Unanielewa vizuri? Imebidi nikoroge na kimombo kidogo maana Kiswahili sometimes ni kigumu kukielewa ila ukichanganyiwa kidogo unaelewa
 
Hamjambo wote!

Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana.
Why, how and for who? Ngoja Hali halisi ijayo ya huko Malawi
 
Upo sahihi mkuu ila utendaji wa Mahakama hautakiwi kuingiliwa na Serikali ili kuzuia km anachosema mdau hapo kwamba Hukumu zote za Mahakamani zinatolewa na Serikali sio na Mahakama, sasa km Hukumu zote zinatolewa na Serikali Mahakama ina kazi gani?

Kingine unaposema Mahakama ni tawi la Serikali hapo pia inabidi uelezee unazungumzia Serikali ipi Serikali ya Chama au Serikali ipi? Kumbuka kuna Chama na Serikali zote zinatembea Sambamba kabisa kwa hio unapoizungumzia Serikali jaribu kuongea kwa upana unaizungumzia Serikali ipi? Ndio maana nikamwambia mdau kwamba Nchi ina Mihimiri mitatu nikimaanisha kwamba ndani ya Nchi kuna institution inayotambulika km Government ndani ya hii institution kuna 3 pillars ambazo ni Executive body, Legislative body and Parliamentary body, hizo 3 pillar za Government as an institution ya Nchi husika zipo ndani ya Nchi husika maana yake Nchi ina 3 pillars ambazo zimehifadhiwa ndani ya institution inayotambulika km Government

Unanielewa vizuri? Imebidi nikoroge na kimombo kidogo maana Kiswahili sometimes ni kigumu kukielewa ila ukichanganyiwa kidogo unaelewa
Nimekwambia Kwa katiba yetu mahakama na bunge Kamwe haiwezi kuwa mihimili huru.
laZima serikali iwe boss wa mihimili hii na laZima zote zitumikie serikali
Serikali inateua majaji
Serikali unatoa pesa kumbuka serikali ndo wana mapato
Serikali ndo inaithinisha sheria za kutumika huko mahakamani
Serikali inaweza kupuuza na kubadilisha hukumu halali za mahakama mfano Rais ana uweZo wa kutoa msamaha Kwa wafungwa bila kujieleza Kwa mahakama.
 
Nimekuuliza unaizungumzia Serikali ipi Executive body au Government? Kiswahili na Kingereza ndipo walipotuvuruga, haya unaizungumzia Serikali ya Chama cha au Serikali na Chama cha yaan Executive body si ndio?
 
Hakuna jambo baya kama kuharibu amani ya nchi
Changamot wao wenyewe ndio sababu ya haya yote, kwanini hawajibu pale panapotakiwa kujibu?
Watu walijiuliza kuhusu mauaji watu kupotea je, walitoa kauli au msimamo?
Madeni ambayo taifa tunaona linaongezeka bila kuweka msingi imara mkakati bora wa kuja kutoa maelezo na pia kutoshirikishwa kwa bunge pindi wataka kukopa either uwazi haupo!
Na kingine tunaona kabsa kuna baadhi sheria tukireason tunahitaj mabadiliko ila wao wanachukulia poa, na cha mwisho kikubwa uchawa taasisi zinazoanzishwa kumpamba rais na watu maarufu kutaka kutuaminisha au kutuonesha mambo aliyoyafanya kwenye uongozi ambao s ngeni kwetu tumekuwa nae tuna uzoefu nao na tushampima kasi ya serikali yak ipoje, mbona Hayati magufuli awamu ya pili kugombea hakutumia nguvu kubwa Ila umma ulishaona tayari yupoje sasa kwanini mama anafanya yote haya alafu unazidi kusisitiza mambo ya amani kuharibu tunahitaji uwazi wa taarifa uwajibikaji na haki ili amani izidi kuwepo, kikubwa zaidi nachukia tu uchawa kusifiwa kusikokuwa na mipangalio acha kazi ikuelezee wewe ni nani!
 
Na si kazi tu kazi na matokeo.
 
Tundu lissu ni haini anapaswa kunyongwa kabisa hana maana huyu mbeligiji!
 
Lugha yako na kusoma leo kwa mara ya kwanza kwa uzi huu.. Imekaa ki meeeeee zaidi. 😊
Yaan siku zote hizo ulikua haujui km huyo ana Korodani ndani ya Chupi yake na mkia mbele? Au unatutania hapa? Na haujui km huyo aliepo kwenye avatar ni Mama yake aliemzaa unajua?
 
Changamot wao wenyewe ndio sababu ya haya yote, kwanini hawajibu pale panapotakiwa kujibu?
Watu walijiuliza kuhusu mauaji watu kupotea je, walitoa kauli au msimamo?
Tazama hili FALAsi,polisi mara ngapi wanasema wanafanya uchunguzi?..mara ngapi wametoa taarifa za mtu aliyepotea?.. waziri wa ndani hakusema wizara inachunguza!?..hakwenda msibani kwa kibao na tamko mkataka kumpiga!?..rais hakuagiza uchunguzi!?..
Madeni ambayo taifa tunaona linaongezeka bila kuweka msingi imara mkakati bora wa kuja kutoa maelezo na pia kutoshirikishwa kwa bunge pindi wataka kukopa either uwazi haupo!
Unaongea nini wewe, unajua hata unachokiongea?..mabwawa ya umeme,madaraja,vyumba vya madarasa, ruzuku kilimo,elimu ya juu nk hutoa pesa yako mfukoni?
Na kingine tunaona kabsa kuna baadhi sheria tukireason tunahitaj mabadiliko ila wao wanachukulia poa,
Sheria gani unataka ifanyiwe mabadiliko?
na cha mwisho kikubwa uchawa taasisi zinazoanzishwa kumpamba rais na watu maarufu kutaka kutuaminisha au
Taasisi gani imeanzishwa Ili kumpamba rais?..ubongo wako size gani?!
kutuonesha mambo aliyoyafanya kwenye uongozi ambao s ngeni kwetu tumekuwa nae tuna uzoefu nao na tushampima kasi ya serikali yak ipoje, mbona Hayati magufuli awamu ya pili kugombea hakutumia nguvu kubwa Ila umma ulishaona tayari yupoje sasa kwanini mama anafanya yote haya alafu unazidi kusisitiza mambo ya amani kuharibu tunahitaji uwazi wa taarifa uwajibikaji na haki ili amani izidi kuwepo, kikubwa zaidi nachukia tu uchawa kusifiwa kusikokuwa na mipangalio acha kazi ikuelezee wewe ni nani!
 
Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Huyo mama yako mwenyewe hana adabu kajipa nafasi ya kugombea.
 
Tazama hili FALAsi,polisi mara ngapi wanasema wanafanya uchunguzi?..mara ngapi wametoa taarifa za mtu aliyepotea?.. waziri wa ndani hakusema wizara inachunguza!?..hakwenda msibani kwa kibao na tamko mkataka kumpiga!?..rais hakuagiza uchunguzi!?..

Unaongea nini wewe, unajua hata unachokiongea?..mabwawa ya umeme,madaraja,vyumba vya madarasa, ruzuku kilimo,elimu ya juu nk hutoa pesa yako mfukoni?

Sheria gani unataka ifanyiwe mabadiliko?

Taasisi gani imeanzishwa Ili kumpamba rais?..ubongo wako size gani?!
Unaonekanaa wewe utakua bingwa wa kujikuna mapumbu na kujinusa sio kwa kuandika huu ujinga ulioandika
 
Huyo mama yako mwenyewe hana adabu kajipa nafasi ya kugombea.
Wakoosa adabu shuleni walikua wanatandikwa Matakoni mpaka adabu ziwajie akilini mwao na wanakua na utii hata wa kuigiza tu ila Matako tayari yashachezea za kutosha
 
Njoo ukune na unuse wewe kama unaona nafaidi
Wewe endelea tu kujikuna mapumbu hakuna kingine ulichobakiza, na umekubari maana yake sijabahatisha nimekuongelea jinsi ulivyo msalimie Mama yako hapo Sebleni bado yupo anaangalia Sinema au kashasinzia?
 
kwa akili yako ndogo unahisi ananyooshwa hufikirii anajengwa kuwa imara zaidi

hufikirii hasira za wananchi kwa unyanyasaji wa wazi wazi
siasa za lissu sii nzuri, kelele zote za siasa mwisho wake hua ni wananchi wananufaika vp na wewe na sio kuchochea sintofaham, anatakiwa ajikite kwenye siasa zaidi ya harakati
 
Back
Top Bottom