GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hamjambo wote!

Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana.
Kwani mashtaka yameisha?
 
mungu MUKU anasemaje kwani?
 
Watamuachiaje wakati anatishia tumbo lao,si unajua waafrika bado wapo kwenye stage ya ukuaji.
Mambo ya domokrasia wapi na wapi.
Mtu ana vimada 20 atakubali vipi atolewe nje ya mfumo.
Hao vimada atawauhudumia nani.
Hii ya vimada kwa viongozi wa afrika ndio chanzo cha ufisadi na urafi
 
Mnaomba au mnaamuru!! Shetani haombwi bali anaamrishwa.

Sawa
Unachanganya kutofautisha Nchi ni nini na Serikali ni nini? Serikali ni Taasisi ndani ya Nchi, unaelewa au wewe unavyojua na ulivyofundishwa kwamba Serikali ndio Nchi? Nani alikufundisha hivyo? Serikali ni kijitaasisi kimoja ndani ya Nchi, Nchi ina taasisi zingine zinazoifanya Nchi iwe Nchi bila hizo hakuna Nchi

🤓
Serikali ni taasisi hilo tulishasema ndio lakini katika kuendesha nchi mihimili mitatu yaani taasisi ndogo tatu kama mihimili katika Separation of powers.
Na hapa tunazungumzia Siasa.

Kabla ya demokrasia hakukuwa serikali zenye Muhimili mitatu lakini nchi zilikuwepo
 
Rudia kusoma mstari wako wa mwisho hivi ni Serikali ya Kidemokrasia au ni Nchi ya Kidemokrasia?
 
Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Uchawi wa mwanamke ni hatari sana. Bora mwanaume mchawi.
 
Rudia kusoma mstari wako wa mwisho hivi ni Serikali ya Kidemokrasia au ni Nchi ya Kidemokrasia?

Serikali ya kidemokrasia ndio kiswahili fasaha.
Ila kisiasa mtu anaposema nchi ya kidemokrasia analenga kusema serikali ya kidemokrasia.
Nafikiri hata kwenye types za government ulisome kitu kama hicho.

Hoja yako ya kusema nchi ina Mihimili mitatu ndio potofu kwa sababu nchi haina hiyo mihimili. Bali serikali za kidemokrasia.

Unajua dhana ya separation of powers?
 
Mkuu nakuomba twende polepole km polepole wala usiwe na haraka naomba definition ya 'Democratic Countries' kwa uelewa wako mkubwa sitaki uutumie uelewa mdogo maana uelewa mdogo utaleta fujo hapa tumia uelewa wako mkubwa niambie nini maana ya 'Democratic Countries' na usichanganye na Democratic Government au tuseme tu Good Governance, usiyachanganye hayo niambie tu kuhusu Democratic Countries unaelewa ni nini kwako kwa unavyoelewa wewe
 
yaani ukiuke sheria kwa makusudi kabisa, utembee kila wilaya nchini nzima kuropoka na kuhubiri chuki na migawanyiko miongoni mwa waTanzania kinyume cha sheria za usalama wa taifa, kisha mtu aje hapa ati ng'we ng'we ng'we aachiwe?
weee! gentleman, kua na heshima kidogo tafadhali.

kumuachia mtuhumiwa wa uhaini kama huyo mropokaji inaweza kua kosa kubwa zaidi ya uhaini wenyewe.

Lazima ashike adabu kwa mujibu wa sheria za nchi bila huruma 🐒
Huyo Lissu hana adabu hata kidogo!! Anyongwe tu!!
 
Mkuu nakuomba twende polepole km polepole wala usiwe na haraka naomba definition ya 'Democratic Countries' kwa uelewa wako mkubwa sitaki uutumie uelewa mdogo maana uelewa mdogo utaleta fujo hapa tumia uelewa wako mkubwa niambie nini maana ya 'Democratic Countries' na usichanganye na Democratic Government au tuseme tu Good Governance, usiyachanganye hayo niambie tu kuhusu Democratic Countries unaelewa ni nini kwako kwa unavyoelewa wewe

Democratic countries are those nations having democratic government.
Kinachorejelewa hapo ni serikali/utawala ambayo ni moja ya Mihimili ya Nchi.

Hapa tunazungumzia je kati ya nchi na serikali kipi kina mihimili mitatu?
Wewe umesema Nchi.
Mimi nikakuambia Serikali ndiyo yenye Mmihili mitatu tena serikali ya kidemokrasia.

Nimekuuliza swali hujanijibu.
Kama Nchi inamihili mitatu, eleza iweje nchi kama Saudia Arabia, north Korea hazina hiyo Mihimili? Je hizo sio nchi?
 
Back
Top Bottom