Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Usiwe mkali sasa tuongee kwa hoja. Mbona ndicho ulichosema kule juu ?Ndiyo akili hizi,ndicho nilichoandika?
Usiwe mkali sasa tuongee kwa hoja. Mbona ndicho ulichosema kule juu ?Ndiyo akili hizi,ndicho nilichoandika?
Mkuu nakuomba twende polepole km polepole wala usiwe na haraka naomba definition ya 'Democratic Countries' kwa uelewa wako mkubwa sitaki uutumie uelewa mdogo maana uelewa mdogo utaleta fujo hapa tumia uelewa wako mkubwa niambie nini maana ya 'Democratic Countries' na usichanganye na Democratic Government au tuseme tu Good Governance, usiyachanganye hayo niambie tu kuhusu Democratic Countries unaelewa ni nini kwako kwa unavyoelewa wewe
Una hasira sana. Tutaelewana kweli sasa kwa mwendo huu?Lima mngese wewe kazi lawama tu
Siku zake ziwe chache, mtu mwingine na achukue kazi yake. ZABURI 109:8.Kwa hio sasa mnataka kusemaje Kutoka 22:18 mnamfanyaje mnamuacha au mnamkaanga?
Ila watekaji wenyewe hawaharibu amani ya nchiHakuna jambo baya kama kuharibu amani ya nchi
Zile kauli ni hatari sana kwa umoja wa Taifa letu.Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Acha washpaze shingo. Wanadhani kuna sauti zitatoka mbinguni ndiyo waamini.Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
Wakati ukifika atolewe labda 2031. Kwasasa amani na utulivu ni muhimu zaidi kwetu sote maana ni kama mnyampaa alivuka mipakaTunaomba serikali imuachie. Na tunaimani itafanya hivyo
Mwishoni umeamua kunifanya nicheke, niwashukuru wazazi wangu kwa kunipeleka shule na kua na uwezo wa kufikiria Nje ya BOXDemocratic countries are those nations having democratic government.
Kinachorejelewa hapo ni serikali/utawala ambayo ni moja ya Mihimili ya Nchi.
Hapa tunazungumzia je kati ya nchi na serikali kipi kina mihimili mitatu?
Wewe umesema Nchi.
Mimi nikakuambia Serikali ndiyo yenye Mmihili mitatu tena serikali ya kidemokrasia.
Nimekuuliza swali hujanijibu.
Kama Nchi inamihili mitatu, eleza iweje nchi kama Saudia Arabia, north Korea hazina hiyo Mihimili? Je hizo sio nchi?
Zile Novena leo siku ya ngapi mkuu aliyoagiza Askofu iswaliwe kwa ajili yake leo siku ya ngapi na zinaisha lini?Siku zake ziwe chache, mtu mwingine na achukue kazi yake. ZABURI 109:8.
Mkuu mboni unataka nicheke? Yaan Serikali ni Mahakama? Serikali inahukumu au Mahakama inahukumu? Mkuu km masuala ya kisheria huyajui usiyaingilie kinyumeNakupa Mfano mwingine;
Maana kichwa chako ni kizito na itakuwa faida kwa watu waliokuwa wanachanganya.
Serikali(Mahakama) ikikuhukumu Kwa kosa la Ubakaji kulingana na sheria zilizotungwa na Bunge. Moja kwa moja inasomeka kubwa ulifungwa na serikali ya Tanzania kupitia Mahakama zake
Yaani leo mnataka sheria ipindishwe kweli wakati tunajua mahakama ndiyo sehemu ya kupata haki.Naunga mkono hoja
Hii hoja pia imeletwa humu na Mkuu Mzee Mwanakijiji
- Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
- GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
- Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
- Kwa kukamilisha yale ya mtangulizi wake, kisha kujumlisha na ya kwake anayotenda, kutomshukuru ni kujichumia tu dhambi za bure!
P
Mkuu mboni unataka nicheke? Yaan Serikali ni Mahakama? Serikali inahukumu au Mahakama inahukumu? Mkuu km masuala ya kisheria huyajui usiyaingilie kinyume
Ndio maana inaitwa Mahakama ya Tanzania haiitwi Mahakama ya Serikali ya Tanzania maana yake ni Mahakama Huru ya Nchi ya Tanzania (Judiciary of Tanzania) unaposema Mahakama ya Serikali ya Tanzania ndio unamaanisha Serikali ni Mmiliki Halali wa Mahakama zote za Nchi ya Tanzania, huna tofauti na kusema ni Mahakama ya Chama na Serikali, jambo ambalo sio Kweli Mahakama sio za Chama na Serikali, Mahakama zote ni za Wananchi wa Nchi ya Tanzania, Serikali sio Mmiliki wa Mahakama zote ndani ya Nchi elewa hivyo Serikali ni Taasisi ndani ya Nchi Serikali haitoi Hukumu Mahamani maana katikati ya Mahakama na Serikali kuna Mstari mwembamba unaozitenganisha zisiingiliane ila zisaidiane kuhakikisha si tu haki ikitendeka bali haki ionekane ikitendekaSerikali ndio inayo hukumu kupitia Mahakama. Kipi huelewi.
Ndio maana ambao hata hawajaisoma
Wanadharau hizo degree zenu za kukariri.
Hivi hata mtu ambaye hajasoma analielewa sasa msomi unashindwaje kuelewa dhana nyepesi kama hizi.
Umeambiwa serikali ni Moja yenye mihimili mitatu inayosaidia kuendesha nchi kiutawala. Hiyo Mihimili imepewa majukumu ya kimamlaka yanayolenga kurahisisha utawala. Yaani Mahakama, bunge na serikali kuu lengo ni moja.
Ndio maana inaitwa Mahakama ya Tanzania haiitwi Mahakama ya Serikali ya Tanzania maana yake ni Mahakama Huru ya Nchi ya Tanzania (Judiciary of Tanzania) unaposema Mahakama ya Serikali ya Tanzania ndio unamaanisha Serikali ni Mmiliki Halali wa Mahakama zote za Nchi ya Tanzania, huna tofauti na kusema ni Mahakama ya Chama na Serikali, jambo ambalo sio Kweli Mahakama sio za Chama na Serikali, Mahakama zote ni za Wananchi wa Nchi ya Tanzania, Serikali sio Mmiliki wa Mahakama zote ndani ya Nchi elewa hivyo Serikali ni Taasisi ndani ya Nchi Serikali haitoi Hukumu Mahamani maana katikati ya Mahakama na Serikali kuna Mstari mwembamba unaozitenganisha zisiingiliane ila zisaidiane kuhakikisha si tu haki ikitendeka bali haki ionekane ikitendeka
Soma
![]()
Mahakama ya Tanzania
The official website of the Judiciary of Tanzania. Access court information, judgments, cause lists, announcements, and online services.www.judiciary.go.tz
Inayotoa hukumu Mahakamani sio Serikali ila Mahakama ya Tanzania ndio inayotoa Hukumu na wewe pia una Haki ya Kuishitaki Serikali inapofanya fyongo na Haki yako na Serikali haiwezi kukuhumu wewe kwa kufanya hivyo ila Mahakama inaweza kuihukumu Serikali inapofanya fyongo na Hukumu ikapita wakiweza wakate rufaa, Serikali inawakilishwa na Mwanasheria wa Serikali (State Attorney) au Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Attorney General) au tuseme inawakilishwa Mahakamani na Principal State Attorney mbele ya Mahakama Serikali inaweza ikasimama km Mtuhumiwa au Mdaiwa pia na ikapigwa Marungu ya Kutosha mfululizo aidha ilipe fidia au faini au vinginevyo kuendana na Mahakama itakavyoamua iwe hivyo kwa hio Serikali haitoi Hukumu ila Hukumu inatolewa na Mahakama, usichanganye madesa kijana
Acha anyooshwe yule aso adabu
Kwa Tanzania, hakuna mamlaka iliyo huru, zote zipo chini ya Rais.Ndio maana inaitwa Mahakama ya Tanzania haiitwi Mahakama ya Serikali ya Tanzania maana yake ni Mahakama Huru ya Nchi ya Tanzania (Judiciary of Tanzania) unaposema Mahakama ya Serikali ya Tanzania ndio unamaanisha Serikali ni Mmiliki Halali wa Mahakama zote za Nchi ya Tanzania, huna tofauti na kusema ni Mahakama ya Chama na Serikali, jambo ambalo sio Kweli Mahakama sio za Chama na Serikali, Mahakama zote ni za Wananchi wa Nchi ya Tanzania, Serikali sio Mmiliki wa Mahakama zote ndani ya Nchi elewa hivyo Serikali ni Taasisi ndani ya Nchi Serikali haitoi Hukumu Mahamani maana katikati ya Mahakama na Serikali kuna Mstari mwembamba unaozitenganisha zisiingiliane ila zisaidiane kuhakikisha si tu haki ikitendeka bali haki ionekane ikitendeka
Soma
![]()
Mahakama ya Tanzania
The official website of the Judiciary of Tanzania. Access court information, judgments, cause lists, announcements, and online services.www.judiciary.go.tz
Inayotoa hukumu Mahakamani sio Serikali ila Mahakama ya Tanzania ndio inayotoa Hukumu na wewe pia una Haki ya Kuishitaki Serikali inapofanya fyongo na Haki yako na Serikali haiwezi kukuhumu wewe kwa kufanya hivyo ila Mahakama inaweza kuihukumu Serikali inapofanya fyongo na Hukumu ikapita wakiweza wakate rufaa, Serikali inawakilishwa na Mwanasheria wa Serikali (State Attorney) au Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Attorney General) au tuseme inawakilishwa Mahakamani na Principal State Attorney mbele ya Mahakama Serikali inaweza ikasimama km Mtuhumiwa au Mdaiwa pia na ikapigwa Marungu ya Kutosha mfululizo aidha ilipe fidia au faini au vinginevyo kuendana na Mahakama itakavyoamua iwe hivyo kwa hio Serikali haitoi Hukumu ila Hukumu inatolewa na Mahakama, usichanganye madesa kijana
Kila jambo lina wakati wake.
Lisu hawezi kulikomboa taifa ambalo bado halijui umuhimu wa uhuru, demokrasia, n.k.
Nchi ya Tanzania ni ya Wanachi wa Nchi ya Tanzania, Rais sio Mmiliki wa Nchi, Rais yupo Ndani ya Taasisi ya Serikali ambayo inafahamika km Taasisi ya Urais ambapo pia Serikali ni Taasisi ya Nchi, Nchi sio Taasisi ya Serikali ila Serikali ipo Ndani ya Nchi na Nchi ni mali ya Wananchi sio Mali ya Taasisi ya Urais au Taasisi ya Serikali, unanielewa vizuri hapo?Kwa Tanzania, hakuna mamlaka iliyo huru, zote zipo chini ya Rais.
Kwa hio unataka kusema Serikali ndio hua inatoa zile Hukumu Mahakamani? TwaaafaWewe ndio unachanganya madesa huelewi unazungumzia jambo gani.
Huelewi maana ya serikali, huelewi aina za serikali, huelewi Mihimilo ya serikali ni ipi na dhana nzima inayohusu hiyo mihimili. Alafu hiyo ni topic ya kidato cha kwanza Civics.
Hakuna mihimili mitatu ya nchi. Hicho ndicho tunajadili, naona unakimbia hoja yako kwa sababu unajua umepuyanga.