GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tatizo ni kuropoka na makidai km yeye kasoma sheria nchi nzima peke yake.
Wakae nae kidogo wakimtoa hachelewi sema hawaniwezi
Kuropoka sio kosa la kufanya ashtakiwe!kila mtu anatabia yake MRADI hujunji Sheria.
 
Hamjambo wote!

Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana.
Watibei ndio watu gan mkuu
 
Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Huyo Mama yako kwenye Avatar kuna Wahuni jana wametoka kumkula guest moja pale maeneo ya Kimara halafu umemuanika kwenye avatar yako
 
Mungu naomba umnusuru Lissu ainuke na alikomboe taifa dhidi ya majambazi, machawa na vibaraka zao. Ee Mungu naomba utende muujiza Majambazi, vibaraka zao na machawa wao waangamie na wasitoboe mwaka huu Amen.

Kila jambo lina wakati wake.
Lisu hawezi kulikomboa taifa ambalo bado halijui umuhimu wa uhuru, demokrasia, n.k.
 
Kiswahili,tatizo kiswahili hamkijui,na huko shule kujisomea ziada hakuna basi tabu tu
Nimekupenda wewe kama wewe, bila kuzingatia contents unazopostigi JF.

Kwa kiswahili hiki, najua utakuwa ni mwanamke mzuri maashaalah!

Unaniruhusu nije PM?
 
Ni mda sasa Taifa kwanza mwacheni Lisu imetosha nyie mna usafi gani wa kumshikilia Lissu kisa siasa
 
Serikali ya Chura Bonge Kiziwi hua haisikii hata ikiambiwa Polepole inahitaji iambiwe na Makofi ya Makalio kapisa sio Fimbo kisha ianze kulalamika km anavyolalamika waifu material

Mkuu kama umheshimu Rais na kumuita Majina kama hayo ya dhihaka unategemea kweli akusilikize.

Hata kama Rais ni muovu isikupe wewe uhalali wa kufanya uovu na kujikosea. Hiyo inahalalisha uovu wake
 
Mkuu kama umheshimu Rais na kumuita Majina kama hayo ya dhihaka unategemea kweli akusilikize.

Hata kama Rais ni muovu isikupe wewe uhalali wa kufanya uovu na kujikosea. Hiyo inahalalisha uovu wake
Mkuu mboni na wewe unakurupuka soma tena nilichoandika vizuri uelewe nimeandika nini sio unajibu kabla ya kusoma hata hii mada yako itakua haina maana, tulia, soma ndio ujibu usikurupuke kujibu kabla hujasoma
 
😂😂
Mkuu kwenye lugha hasa ya maandishi siwezi kukurupuka.
Ukiambia umtaje chura bonge kiziwi unamrejelea nani?
 
Back
Top Bottom