Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Soma tena nilichomaanisha mkuu wewe ulitaka nikwambie nini? Nikwambie unavyotaka nikwambie unavyopenda kuambiwa? Haya kafungue kesi ya Uhaini basi stupid mfckerMkuu kama umheshimu Rais na kumuita Majina kama hayo ya dhihaka unategemea kweli akusilikize.
Hata kama Rais ni muovu isikupe wewe uhalali wa kufanya uovu na kujikosea. Hiyo inahalalisha uovu wake