GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tunaomba mahakama imtendee Lissu haki kwa namna alivyokua anaongea asipohukumiwa kunyongwa itakua hawajamtendea haki, kitendo cha kutishia kukinukisha kilisababisha nipate hofu na niwe na mashaka na maisha yangu, mtu huyu akirudi uraiani itasababisha wananchi tusio na hatia tuishi bila amani
Wagonjwa wa ukimwi mnachekesha Sana .
 
Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Wanalimaje sasa na uhovyo wa sera za serikali zinazoingilia shughuli za uchumi na maisha ya raia ghafla bila mijadala ya kisheria?
 
Tunaomba mahakama imtendee Lissu haki kwa namna alivyokua anaongea asipohukumiwa kunyongwa itakua hawajamtendea haki, kitendo cha kutishia kukinukisha kilisababisha nipate hofu na niwe na mashaka na maisha yangu, mtu huyu akirudi uraiani itasababisha wananchi tusio na hatia tuishi bila amani
Kukinukisha ni Nini na ipo BAKITA?
 
Tunaomba mahakama imtendee Lissu haki kwa namna alivyokua anaongea asipohukumiwa kunyongwa itakua hawajamtendea haki, kitendo cha kutishia kukinukisha kilisababisha nipate hofu na niwe na mashaka na maisha yangu, mtu huyu akirudi uraiani itasababisha wananchi tusio na hatia tuishi bila amani

😀😀
Usichukulie kila jambo masikhara hasa ukijijua unafamilia
 
Tunaomba mahakama imtendee Lissu haki kwa namna alivyokua anaongea asipohukumiwa kunyongwa itakua hawajamtendea haki, kitendo cha kutishia kukinukisha kilisababisha nipate hofu na niwe na mashaka na maisha yangu, mtu huyu akirudi uraiani itasababisha wananchi tusio na hatia tuishi bila amani

Wahuni mkimsikia TAL lazima mlale na viatu. Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri!

RIP JPM, RIP BWM Till we meet again.
 
yaani ukiuke sheria kwa makusudi kabisa, utembee kila wilaya nchini nzima kuropoka na kuhubiri chuki na migawanyiko miongoni mwa waTanzania kinyume cha sheria za usalama wa taifa, kisha mtu aje hapa ati ng'we ng'we ng'we aachiwe?
weee! gentleman, kua na heshima kidogo tafadhali.

kumuachia mtuhumiwa wa uhaini kama huyo mropokaji inaweza kua kosa kubwa zaidi ya uhaini wenyewe.

Lazima ashike adabu kwa mujibu wa sheria za nchi bila huruma 🐒
Ohh okkk

Ova
 
Attachments

  • IMG-20250811-WA0007.jpg
    IMG-20250811-WA0007.jpg
    53.2 KB · Views: 25
Back
Top Bottom