gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hizi ndiyo akili!?We mke wako amekufa kwa ugonjwa gani ?
Hizi ndiyo akili!?We mke wako amekufa kwa ugonjwa gani ?
Akili hatuna sawa nyie mnazo Ila huu Uzi utunzwe tutakutana hapa hapaMlipokemuwa mnatoa shobo zenu mara Kwa mabalozi mara sijui TEC mara muwaalike mlitegemea mzungu atupangie wakati ana njaa 😁😁
Tuliwaambia hamna akili
Watibeli tumewaomba, sisi hatushurutishagi watu, hatulazimishi watu kwani baada ya ombi ambalo ni kwa heshima mtu akikaidi ataelewa baada ya matokeo
ARV Zinampendeza zaidi kwa kweli 🙂Anywe ARV!
Ndiyo akili hizi,ndicho nilichoandika?Kwahiyo kumtembelea hospital ina halalisha yeye kubaka katiba ya inchi na kufanya mambo kinyume na sheria?
Kama mke alikufa kwa ukimwi unafikiri kuna nini ?.Hizi ndiyo akili!?
HaribuNani anahalibu amani ya nchi
Kwann unawaomba, tumia maneno ya amrisho. Sema TUNAITAKA NA KUIAMURU.
Ameze ARV ukimwi ushaingia kichwaniARV Zinampendeza zaidi kwa kweli 🙂
Step up fvcker.. this is lowBora uwe unanyamaza, maana upepo wako kama Mbuzi wa kafara!
Muku ikianza kulala nao Mbele utasikia mayowe .Watibeli tunafuata HAKI, UPENDO, KWELI NA AKILI
Serikali tunahaki ya kuiheshimu kwa mamlaka yake. Na hiyo haimaanishi kuwa tutakubaliana nayo hata kwenye matendo ya dhulma.
Kuiomba Serikali ni namna ya kutimiza wajibu wetu kuiheshimu kwa sababu sisi wenyewe ndio tumeiweka na inatutumikia kwa namna nyingi. Ingawaje kuna maeneo inapuyanga lakini haifuti Sehemu ya mambo makubwa inayotufanyia.
Kikatiba hatuwezi kuiamrisha serikali ila yenyewe inamamlaka hayo(tumeipa mamlaka hayo)
Kiukweli, Serikali ina nguvu kuliko mtu au kikundi cha watu. Na hiyo ni sifa kuu ya serikali yoyote, nguvu ambayo ndio huifanya na kuipa uhalali wa kuwa na mamlaka.
Huwezi kuwa na mamlaka kama hauna nguvu
Sio lazima hapa hata kwingineko tukutane tuu Kuna tatizo?Akili hatuna sawa nyie mnazo Ila huu Uzi utunzwe tutakutana hapa hapa
Dimwit,scum.. knowing nothing than food and sleepKama mke alikufa kwa ukimwi unafikiri kuna nini ?.
Nyie wagonjwa wa ukimwi huwa mnakuaga na akili ndogo sana.Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Nice tryNyie wagonjwa wa ukimwi huwa mnakuaga na akili ndogo sana.
Muku ikianza kulala nao Mbele utasikia mayowe .
Kama haumezi dawa ni hatari Mimi jirani yangu alikuwa Kama wewe anapata hali Kama hii.Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Ujinga umezidi mwili wako!Step up fvcker.. this is low
Umeme huu ushaingia kichwani Kazi IPO ,ni mwendo wa kujiropokeaNa maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime