gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Angalia post uliyoni-quote nilimjibu nani,kuwa makini na multiple id zako,hii ya tatu sasa unaidhihirisha kwanguID yangu ya kwanza ni ipi? Hebu niambie Sangoma wa JF 🙂
Angalia post uliyoni-quote nilimjibu nani,kuwa makini na multiple id zako,hii ya tatu sasa unaidhihirisha kwanguID yangu ya kwanza ni ipi? Hebu niambie Sangoma wa JF 🙂
Hakuna kitu Kama hicho Mama , Lissu ni mpaka mafutwa wa bwana.Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
kama ni hivyo basi waachiwe wote walioko mahabusu na jela yaan mtu afanye kosa halafu mtegemee huruma huyo bwana tobo kama ana kosa afungwe kama wafungwa wengine
zitaje ID zangu - kwa wema tu na upendo mdogo wangu...Angalia post uliyoni-quote nilimjibu nani,kuwa makini na multiple id zako,hii ya tatu sasa unaidhihirisha kwangu
Ndio Maana nimesema wangekuwa na Akili kama zako tusingepata Uhuru kabisa! Watoto wako wa shida ya baba!Nyerere aliandaliwa na wakoloni Ili aachiwe nchi,hana uspesho wowote, karume alikua ikulu dar wakati mapinduzi yanafanyika
Lissu hatafuti uhuru wowote,ni muhuni tu kibaraka wa wakoloni
Lissu kafanya kosa gani mkuu Kama sio siasakama ni hivyo basi waachiwe wote walioko mahabusu na jela yaan mtu afanye kosa halafu mtegemee huruma huyo bwana tobo kama ana kosa afungwe kama wafungwa wengine
Baada ya Oktoba novemba ndio atolewe.
Hawa walimkejeli sana Mwamba na wakajigeuza vibaraka wa Wazungu Sasa wanapata picha kwamba mzungu hana Msaada
Huyo Ana stress za mke wake kufa kwa ukimwi .Ndio Maana nimesema wangekuwa na Akili kama zako tusingepata Uhuru kabisa! Watoto wako wa shida ya baba!
Sasa nyerere alifanya nini mpaka tukapata uhuru zaidi ya kuvamia chama cha waswahili wa kariakoo!?Ndio Maana nimesema wangekuwa na Akili kama zako tusingepata Uhuru kabisa! Watoto wako wa shida ya baba!
Ungemuacha tuu huyu mkuu, Mirembe kabisa huyo hajamaliza dozi!upeo wangu na wako unaupimaje? wewe ndiye umeanzisha ligi ya matusi, na ni wewe pia unazungumzia habari za upeo wa watu.. acha upoyoyo humu ndani kwa kutangaza ujinga wako wa matusi, heshimu watu ili uheshimike pia bila kujali wengine wanasema nini? Form 2 D walifundishwa, in every action, there is equal and opposite reaction , labda hiyo uliisahau...
Mimi naamini TAL atawapagaza wanaotaka wote waliomfanyia ubayaKwann unawaomba, tumia maneno ya amrisho. Sema TUNAITAKA NA KUIAMURU.
We unanizidi akili!?Huyo Ana stress za mke wake kufa kwa ukimwi .
Waweza soma nyuzi zake akili ndogo sana huyo
Anywe ARV!Huyo Ana stress za mke wake kufa kwa ukimwi .
Waweza soma nyuzi zake akili ndogo sana huyo
Walipokuwa wanapeleka shobo zenu mara Kwa mabalozi mara sijui TEC mara muwaalike mlitegemea mzungu atupangie wakati ana njaa 😁😁Hiyo tangu zamani Mzungu hana msaada hasa kwenye mambo ya kisiasa na kiuchumi direct bila kuangalia maslahi yake.
We mke wako amekufa kwa ugonjwa gani ?We unanizidi akili!?
Nani anahalibu amani ya nchiHakuna jambo baya kama kuharibu amani ya nchi
Kwahiyo kumtembelea hospital ina halalisha yeye kubaka katiba ya inchi na kufanya mambo kinyume na sheria?Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Bora uwe unanyamaza, maana upepo wako kama Mbuzi wa kafara!Sasa nyerere alifanya nini mpaka tukapata uhuru zaidi ya kuvamia chama cha waswahili wa kariakoo!?