GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watamuachiaje wakati anatishia tumbo lao,si unajua waafrika bado wapo kwenye stage ya ukuaji.
Mambo ya domokrasia wapi na wapi.
Mtu ana vimada 20 atakubali vipi atolewe nje ya mfumo.
Hao vimada atawauhudumia nani.
Wamepitishwa kuwa wabunge, das, DC, wakurugenzi n.k
 
Mahakama sio Serikali na Serikali sio Mahakama, wewe ulisoma Uraia (Civics) kweli wewe? Nani aliekwambia kwamba Serikali ni Mahakama na Mahakama ni Serikali? Hio ni mihimiri miwili tofauti ila kwa Nchi inayoongozwa na Chura Binti Kiziwi Mahakama ipo ndani Mfuko wa Jeans ya Serikali

Namnukuu Rost Tamu Aziz aliwahi kusema ikipigwa simu moja tu Jaji anaua kesi, unaelewa maana ya simu moja?
Kwani Mahakama Ni Mhimili Wa Nini??
 
Lisu amewekwa ndani kwa kutunishiana Misuli tuu na sio zaidi ya hapo.

Haya huko CCM nao walifungwa kama Lisu ndio maana Samia kapita mwenyewe kimazabe?
Kutunishiana misuli na nani Chura Binti Kiziwi au Rost Tamu Aziz na Makaa ya Mawe kule Kusini mwa Tanzania? Nishati safi tutumie makaa ya mawe kutengeneza nishati safi nani anachimba makaa ya Mawe na kuyavusha nje? Hapa ndipo ilipozuliwa kesi ya Uhaini, kuhoji hivyo achana na ile blabla wanayosema alisema eti wao na Chama chake watagomea uchaguzi na na km watagomea uchaguzi uchaguzi hautafanyika na huo utakua Uhaini hio sio kesi ya Uhaini stupid fools wakazama Mahamani wakamfungulia kesi ya Uhaini kisa yeye ndio kasema kwamba huo utakua ni Uhaini yes ni Uhaini lakini uchaguzi haujafika na hawajafanya hivyo km alivyosema kua watagomea uchaguzi huku anacheka nao wakatembea na hio point sasa

Nije kwenye upande wa CCM, majority watu wengi wa CCM ukiniondoa mimi ila majority hawajafurahishwa na hawafurahishwi na wenyewe wanasema ni michezo ya kisiasa tu na ujinga ujinga mwingi tatizo ni ujinga na kukosa watu serious wa kuwatia watu fimbo za matako ili akili ziwarudi, najua utakua ushanielewa
 
Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Kwani Lisu alimtumia mwaliko huko hospitali? Hakuna maridhiano, ule ulikuwa utapeli kama utapeli mwingine. Aendelee kutoa maagizo tu, game huwa linageuka, na Lisu haoogopi chochote.
 
Mungu atamlinda na kuwanyima usingizi watesi wake
 
Kwani Mahakama Ni Mhimili Wa Nini??
Wa Nchi

Nchi yako ina Mihimiri mitatu inayojitegemea:

1. Bunge
2. Mahakama na
3. Serikali

Sasa huyu Serikali yeye kazi yake ni kuiingilia Bunge kinyume na kuiingilia Mahakama kinyume, hilo ndilo linalofanyika kwenye Nchi yako sio vinginevyo

Watu km nyinyi kuwaanzishia tuition inabidi nishike na fimbo kabisa kila mkiingia nawalamba za matako na mkitoka nawalamba tena za matako
 
Kutunishiana misuli na nani Chura Binti Kiziwi au Rost Tamu Aziz na Makaa ya Mawe kule Kusini mwa Tanzania? Nishati safi tutumie makaa ya mawe kutengeneza nishati safi nani anachimba makaa ya Mawe na kuyavusha nje? Hapa ndipo ilipozuliwa kesi ya Uhaini, kuhoji hivyo achana na ile blabla wanayosema alisema eti wao na Chama chake watagomea uchaguzi na na km watagomea uchaguzi uchaguzi hautafanyika na huo utakua Uhaini hio sio kesi ya Uhaini stupid fools wakazama Mahamani wakamfungulia kesi ya Uhaini kisa yeye ndio kasema kwamba huo utakua ni Uhaini yes ni Uhaini lakini uchaguzi haujafika na hawajafanya hivyo km alivyosema kua watagomea uchaguzi huku anacheka nao wakatembea na hio point sasa

Nije kwenye upande wa CCM, majority watu wengi wa CCM ukiniondoa mimi ila majority hawajafurahishwa na hawafurahishwi na wenyewe wanasema ni michezo ya kisiasa tu na ujinga ujinga mwingi tatizo ni ujinga na kukosa watu serious wa kuwatia watu fimbo za matako ili akili ziwarudi, najua utakua ushanielewa

Subiri baada ya September 7 turudi kwenye hii post.
Tutajua mhusika ni huyo Rostam au Samia na Serikali yake
 
Wanajua wakiamuachia mama atapata upinzani mkubwa kwenye kampeni. Chama tawala kinaenda kupambana na wapinzani kiliowatengeneza.
 
Wa Nchi

Nchi yako ina Mihimiri mitatu inayojitegemea:

1. Bunge
2. Mahakama na
3. Serikali

Sasa huyu Serikali yeye kazi yake ni kuiingilia Bunge kinyume na kuiingilia Mahakama kinyume, hilo ndilo linalofanyika kwenye Nchi yako sio vinginevyo

Watu km nyinyi kuwaanzishia tuition inabidi nishike na fimbo kabisa kila mkiingia nawalamba za matako na mkitoka nawalamba tena za matako
"Na Ni Kweli Nchi Ina  Mihimiri Mitatu"......Na Si Serikali Ndio Ina  Mihimili Mitatu....
 
Subiri baada ya September 7 turudi kwenye hii post.
Tutajua mhusika ni huyo Rostam au Samia na Serikali yake
Umeanza kua km britanicca au Mzee Mwanakijiji na ramli chonganishi, sikia nikwambie kitu my brother Mbabeli or Mtibeli hio tarehe 7 September itafikia, itapita, itaenda, itakuachia manyoya na haitorudi kamwe, Chura Binti Kiziwi kaweka pamba masikioni bado kilichobakia ni kuweka pamba kwenye pua tu ili asisikie hizo harufu za mashuzi yenu mnayomjambia jambia kila siku mitandaoni yeye kashaamua liwalo na liwe mkitaka kumpika na kumpakua mpakueni mpikeni, na alishasema km mnataka kumchapa basi hakikisheni mnamchapa akiwa hapohapo alipo (mlishindwa), kumgalagaza (hamuwezi), kumtanguliza mbele za haki (sijui), kumpelekea moto motoni mpaka kuzimu (yeye anaishi huko tangu mwanzo kwa hio haogopi giza ndio maana alishawaambia kifo ni kifo tu), yeye kashaamua fungeni novena siku 9 au mkiona haitoshi fungeni 14 mkiona haitoshi fungeni 21 kabisa, fanyeni yote nendeni hata waganga nguli wa dunia popote mnapopataka, mpulizieni hata zile dawa mlizozitoa Urusi za kuua wadudu na kiwanda kikiwa hapa, fanyeni yote ila yeye hamwaachii yule bwana hata mfanyaje kashaamua km iwe mbwai na iwe mbwai mfanye lolote mnalolitaka yeye anavyoamini deep inside hamumuwezi hata kwanini na bwana yule hamwaachii hata akitubu mbele ya Mahakama km anavyotubu daily akiwa mahakamani na kusema "please Mheshimiwa kule ndani sio kuzuri mimi nipo tayari hii committal ifanyike hata leo msinisogezee sana kesi mbele, please Mheshimiwa...", hasikilizi hayo hivi unamjua mtu mwenye kitu kinaitwa sadistic anakuakuaje?
 
Wa Nchi

Nchi yako ina Mihimiri mitatu inayojitegemea:

1. Bunge
2. Mahakama na
3. Serikali

Sasa huyu Serikali yeye kazi yake ni kuiingilia Bunge kinyume na kuiingilia Mahakama kinyume, hilo ndilo linalofanyika kwenye Nchi yako sio vinginevyo

Watu km nyinyi kuwaanzishia tuition inabidi nishike na fimbo kabisa kila mkiingia nawalamba za matako na mkitoka nawalamba tena za matako

😂😂

Mkuu vitu kama hukuvielewa omba uelekezwe.

Nchi haina mihimili Kwa msingi wa utawala.
Serikali ndio inamihimili
Na nikujuze tuu serikali yetu inamihimili mitatu, yaani serikali inaundwa au imejengwa katika mihimili mitatu. Na yote hufanya kazi Kwa kutegemeana.
a) Serikali Kuu
b) Mahakama
c) Bunge.

Serikali Kuu
a) Serikali Kuu
b) Serikali za mitaa.

Mahakama
a) Mahakama ya mwanzo
b) Mahakama ya Rufaa n.k.

Bunge
Kuna nchi Zina mabunge mawili.
 
Umeanza kua km britanicca au Mzee Mwanakijiji na ramli chonganishi, sikia nikwambie kitu my brother Mbabeli or Mtibeli hio tarehe 7 September itafikia, itapita, itaenda, itakuachia manyoya na haitorudi kamwe, Chura Binti Kiziwi kaweka pamba masikioni bado kilichobakia ni kuweka pamba kwenye pua tu ili asisikie hizo harufu za mashuzi yenu mnayomjambia jambia kila siku mitandaoni yeye kashaamua liwalo na liwe mkitaka kumpika na kumpakua mpakueni mpikeni, na alishasema km mnataka kumchapa basi hakikisheni mnamchapa akiwa hapohapo alipo (mlishindwa), kumgalagaza (hamuwezi), kumtanguliza mbele za haki (sijui), kumpelekea moto motoni mpaka kuzimu (yeye anaishi huko tangu mwanzo kwa hio haogopi giza ndio maana alishawaambia kifo ni kifo tu), yeye kashaamua fungeni novena siku 9 au mkiona haitoshi fungeni 14 mkiona haitoshi fungeni 21 kabisa, fanyeni yote nendeni hata waganga nguli wa dunia popote mnapopataka, mpulizieni hata zile dawa mlizozitoa Urusi za kuua wadudu na kiwanda kikiwa hapa, fanyeni yote ila yeye hamwaachii yule bwana hata mfanyaje kashaamua km iwe mbwai na iwe mbwai mfanye lolote mnalolitaka yeye anavyoamini deep inside hamumuwezi hata kwanini na bwana yule hamwaachii hata akitubu mbele ya Mahakama km anavyotubu daily akiwa mahakamani na kusema "please Mheshimiwa kule ndani sio kuzuri mimi nipo tayari hii committal ifanyike hata leo msinisogezee sana kesi mbele, please Mheshimiwa...", hasikilizi hayo hivi unamjua mtu mwenye kitu kinaitwa sadistic anakuakuaje?

Mkuu hao uliowataja sijui ni kina nani. Nilichoandika wanaohusika Wachukue hatua.
Najua unatamani kitu Fulani kitokee ambacho kitakufurahisha lakini Kwa bahati nzuri au mbaya kitu hicho kinategemea maamuzi ya wahusika katika andiko hili
 
Ndio nimekueleza ukweli usioutaka kuusikia ila uzuri ni kwamba umesoma nilichoandika na umekielewa na umekua mpole, very good
 
Siku zote Watibeli ni wapole. Nafikiri unajua maana sahihi ya neno ulilolitumia "Upole"

Nataka unipe elimu mpya, kuhusu Nchi kuwa na mihimili mitatu. Huenda nilielewa na kufundishwa na kujifunza tofauti kimakosa
 
Government may be defined as an institution of the state that is primarily concerned with governance and the general well-being of the people within it’s governance.

Mimi sikumaliza Chuo UDSM, Mkuu labda nimekosea definition unaweza ukanisahihisha hapo.
 
Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Korokoroni hukaa wenye makosa..

Kuifungia HAKI korokoroni kwa sababu tu ana mamlaka na madaraka ya muda mfupi ya kufanya hivyo, ni kujitafutia janga na mateso yasiyo ya lazima..

HAKI mara zote huinuka na kufanya malipizi (revenge)...

Na usiombe ikukute maana malipizi (Revenge) inapofanywa na HAKI mwenyewe sio poa hata kidogo...

HAKI ni Mungu Yehova na Mungu Yehova ndiyo HAKI yenyewe..!!!!
 
Back
Top Bottom