Tazama hili FALAsi,polisi mara ngapi wanasema wanafanya uchunguzi?..mara ngapi wametoa taarifa za mtu aliyepotea?.. waziri wa ndani hakusema wizara inachunguza!?..hakwenda msibani kwa kibao na tamko mkataka kumpiga!?..rais hakuagiza uchunguzi!?..
Unaongea nini wewe, unajua hata unachokiongea?..mabwawa ya umeme,madaraja,vyumba vya madarasa, ruzuku kilimo,elimu ya juu nk hutoa pesa yako mfukoni?
Sheria gani unataka ifanyiwe mabadiliko?
Taasisi gani imeanzishwa Ili kumpamba rais?..ubongo wako size gani?!