Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na...
Utakuwa unafanya makosa yatakayokugharimu sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua, ukadhani kuwa amegeuka na kuwa paka! Form is temporary but CLASS is permanent!! Mechi ya mzunguko wa pili tarehe 13/04/2023 itakuwa kiyama kwenu! Simba nguvu moja!
Hayo ya jana tumeyapokea na kuyatupa nyuma na...
Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda.
Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa 100% Yanga SC inashinda.
Refa akiwa ni Mwanaume ( hasa Eli Sasi ) Mechi itaisha Sare kwakuwa huyu...
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanatarajia kukutana katika mkutano wa dharura Jijini Luanda, Angola tarehe 04 Novemba, 2023.
Mkutano huo unalenga kujadili juhudi za SADC katika kuimarisha hali ya amani, ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya...
Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo.
Muswada huu ni ndoto ya...
Muda huu sisi Wanayanga ndio tunatoka Uwanjani kukamilisha maagizo ya awali ambayo tumepewa na mtaalamu wetu kuhusiana na mechi ya tarehe 5 Nov.
Mechi si ngumu kama ambavyo mmedhania. Maana tayari tumeshauziwa ramani. Tunajua wapi pa kupita, tunajua wapi pa kupiga.
Kikosi cha Simba...
Ni kweli taasisi nyingi tu za umma bado hawapata mishahara yao hadi muda huu saa7 kasoro dakika 13 mchana.
Naomba Mungu anipe nguvu na huruma ya kuwavumilia watumishi niliowakopesha, nilipatwa na jazba sana kwa hatua ya kuchukua simu zao.
Nimetafakarii sana hatua Ile, nimejifunza jambo kama...
I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani.
Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi.
Mshaharaaa uwiii
Ukibisha unataka tu Kubisha ila Al Ahly FC wako dunia yao Kimpira kwani Wanajua na wataendelea Kuujua kutokana na Kujipanga Kwao katika kila Sekta.
Kama si bahati jana ( na nahisi hata Babu yetu wa Kiutamaduni namaanisha Mganga wa Kienyeji ) alitusaidia mno kwani tulikoswakoswa zaidi ya mara...
Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya.
Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa...
Na hapa GENTAMYCINE nawaongelea / nawalenga zaidi wale Non Commissioned Officers ( Wanajeshi wa Ngazi za Chini ) na wala sina shida na wale Wakubwa ( Commissioned Officers ) kwakuwa sijawahi kuwaona wakiwa na hali ambayo huwa naiona kwa hawa Wenzao ninaowajadili wa Vyeo cha Chini wakiongozwa na...
MBUNGE MARTHA GWAU ANAWAKARIBISHA WANA SINGIDA WOTE KATIKA MAPOKEZI YA RAIS SAMIA MKOA WA SINGIDA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
Ili kuonyesha uchu aliyonao dhidi ya wekundu wa msimbazi mshambuliaji muuaji wa mashetani wekundu wa Misri ameamua kuikacha timu ya Taifa ya Afrika Kusini Ili kutunza nguvu za kuja kuwaadabisha wekundu wa msimbazi
Chanzo changu kilicho ndani ya timu ya Al Ahyl kimeninyetishia kuwa muuaji Percy...
Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka.
Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi...
Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu.
Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine...
Anonymous
Thread
jana
kigoma
kijiji
maovu
mauaji
mkoa
nguvu
rpc
tarehe
Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake.
Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.