Rais wa Nepal avunja bunge, atangaza tarehe ya uchaguzi

Rais wa Nepal avunja bunge, atangaza tarehe ya uchaguzi

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rais wa Nepal, Ramchandra Poudel, amelivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya utakaofanyika ifikapo Machi 5, 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja ya machafuko makubwa yaliyosababishwa na maandamano ya vijana.

Uamuzi huo ulitangazwa jana Ijumaa, saa chache baada ya Rais Poudel kumteua na kumuapisha Waziri Mkuu mpya wa mpito, Sushila Karki, ambaye aliwahi kuwa Jaji Mkuu na anakuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini humo.

Karki aliteuliwa kufuatia majadiliano ya kina kati ya Rais, Mkuu wa Jeshi Ashok Raj Sigdel, na viongozi wa maandamano yaliyogharimu maisha ya takribani watu 51.

Maandamano hayo yalichochewa na uamuzi wa serikali kuzuia matumizi ya mitandao kadhaa ya kijamii, hali iliyoongeza hasira miongoni mwa vijana na kusababisha ghasia kubwa mitaani.
1757789574336.png


=================
​
Nepal's President Ramchandra Paudel has dissolved parliament and called for fresh elections on March 5 following a week of deadly violence that culminated in the appointment of the country's first woman prime minister.

The statement from Paudel's office late on Friday came just hours after he announced former Chief Justice Sushila Karki would lead the country on an interim basis following the deadly "Gen Z"-led anti-graft protests that forced former Prime Minister K.P. Sharma Oli to resign.

According to the statement, the president has "dissolved the House of Representatives" and fixed March 5 next year for the elections.

Karki was appointed after two days of intense negotiations between Paudel, army chief Ashok Raj Sigdel and the protest leaders behind Nepal's worst upheaval in years, in which at least 51 people were killed and more than 1,300 injured.

Nepal's southern neighbour, India, said it hoped that the developments would help foster peace and stability.
"Heartfelt congratulations to the Honorable Sushila Karki Ji on assuming the office of Prime Minister of Nepal's interim government. India is fully committed to the peace, progress, and prosperity of Nepal's brothers and sisters," Indian Prime Minister Narendra Modi said in a post on X.

Nepal has grappled with political and economic instability since the abolition of its monarchy in 2008, while a lack of jobs has driven millions of young people to seek work in other countries like the Middle East, South Korea and Malaysia.

By Saturday normality was returning in the country of 30 million people tucked between China and India, with most parts of the capital Kathmandu seeing shops reopening and vehicles returning to the streets after some prohibitory orders in force since Tuesday were suspended.

IMMEDIATE CHALLENGE​

Relatives of the deceased gathered outside the Prime Minister's official residence in Kathmandu, demanding martyr status for those killed - which confers recognition that they died in the service of their country - and compensation.

Some refused to take the bodies of their relatives from the morgue until their demands were met.
"My brother should be declared a martyr as he died for the country, and the government should give compensation to my parents," said Sumitra Mahat, sister of 21-year-old Umesh Mahat, who was killed during the protest.

She along with other family members stood in front of the Prime Minister's official residence with a banner displaying pictures of some of those that died. Most said their relatives had been shot.

Source: Reuters​
 
inamaana maandano yale rais hayakumuhusu.? au mfumo wao ni kama wa israel,UK,India kwamba waziri mkuu ndie mwenye power zote..sasa hapo nepal wakati waziri mkuu na wahuni wenzie wanafisadi taifa huyo rais alikuwa wapi kumtumbua hadi nchi imeingia kwenye machafuko au huko PM anakuwa juu ya rais kimamlaka na nguvu kiasi rais ni kama pambo tu.?
 
Hawa watarudi kule kule tu. Wanatoa wezi hawa, wanaingiza hawa.
Hivi revolution halisi huwa zinaingia kwa mfumo wa sanduku au ni kuondoa serikali nzima kabisa na nyie kuja na serikali mpya ambalo jambo hili si maandamano ya siku moja bali ni mpango wa muda mrefu.
 
Maandamano hayo yalichochewa na uamuzi wa serikali kuzuia matumizi ya mitandao kadhaa ya kijamii, hali iliyoongeza hasira miongoni mwa vijana na kusababisha ghasia kubwa mitaani.
Wale viongozi wa Malawi inabidi waisome hii vizuri
 
inamaana maandano yale rais hayakumuhusu.? au mfumo wao ni kama wa israel,UK,India kwamba waziri mkuu ndie mwenye power zote..sasa hapo nepal wakati waziri mkuu na wahuni wenzie wanafisadi taifa huyo rais alikuwa wapi kumtumbua hadi nchi imeingia kwenye machafuko au huko PM anakuwa juu ya rais kimamlaka na nguvu kiasi rais ni kama pambo tu.?
Nepal Prime minister ndio ana serves as the head of government,responsible for executive functions and policy making,

Cheo cha President ni ceremonial head of the state tu,hana power dhidi ya pm.
 
Back
Top Bottom