Kabla hamjaandamana Tarehe 29 Oktoba waulizeni Zanzibar na Waislam kwanza

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ?

Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea.

Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote.

Usiandamane kwa mihemko hakikisha anaye kushawishi wote mpo wote barabarani waswahili husema msiba wa wengi ni harusi.
 
Watu wakiamua hivi vitisho vyako vya kitoto havitakuwa na msaada wowote.
 
Acha ungese kipindi hicho watu walikua hawan elimu sa hivibwatu wameelimika si mbumbumbu ka wewe
 
Watu wakiamua hivi vitisho vyako vya kitoto havitakuwa na msaada wowote.
Vitisho vya kitoto eti tangulia barabarani Oktoba 29 ndio utajua hawa wavaa gwanda wako huwa wanatania ama laaah nimekwisha kuueleza wa kuwa uliza Wazanzibar na waislam wa mwembechai
 
hayo yanafahamika na ukiona muitikio maana yake yameshafanyiwa tathmini ya kupambana nayo, ccm hii miaka mitano lazima mtupe nchi yetu
Tarehe 29 Oktoba uwepo barabarani nchi watu hawapewi kwenye sahani.

Huku online usionekane
 
Cha kushangazaa na yey
Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ?

Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea.

Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote.

Usiandamane kwa mihemko hakikisha anaye kushawishi wote mpo wote barabarani waswahili husema msiba wa wengi ni harusi.
e ambaye aliagiza wenzake wavyekwe nae amefwekwa pia sijui kwanini akubisha asifwekwe.
 
CCM imeshindwa kutengeneza barabara bora matokeo yake watu wanakufa kama kuku kwa sababu ya ajali zinazotokana na ubovu/ufinyu wa barabara.

Vijana wengi wamejiajiri kwenye bodaboda na kwenyewe ajali ni nyingi sana ambapo taifa linapoteza nguvu kazi lakini huoni CCM wakiumiza kichwa kutatua tatizo la ajira ili vijana wasikimbilie bodaboda zenye risk kubwa ya kupata ajali na kupoteza uhai.

Kutokana na hayo machache hapo juu kwa vijana wa kitanzania uchaguzi ni wenu mpambane kupata mifumo bora ya uchaguzi ambayo itawawezesha kuchagua viongozi ambao watasimamia ustawi wenu au muendelee kufa kwenye ajali zinazotokana kwa asilimia kubwa na hawa madhulumati ya CCM
 
U

Mpambane au tupambane???
stawi wenu au ustawi wetu ???
 
Back
Top Bottom