Tetesi: Kesi ya Lissu inaweza kuitwa mapema kabla ya tarehe iliyopangiwa

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa.

Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume

MUNGU ibariki tanganyika.
MUNGU ibariki tanzania.
MUNGU bariki watanzania.
 
Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume😂😂😂
 
Kwamba matarajio yao hayakufikia lengo kuu? Akili za ajabu sana hizi kudhani Lissu ni kikwazo kwa mambo yao na akadhibitiwa! Unaambiwa ma gen z siku hizi wanakinukisha wenyewe hata bila kuwa na kiongozi mahsusi anayejulikana. Huyu Lissu wanamdhibiti bure tu, ngoma ngoma iko nje inogile, muziki mnene unadunda hata bila Lissu!
 
Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa.

Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume

MUNGU ibariki tanganyika.
MUNGU ibariki tanzania.
MUNGU bariki watanzania.
Yani ata lissu amekuja na mbinu ngumu sana ya kupambana nao
 
Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa.

Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume

MUNGU ibariki tanganyika.
MUNGU ibariki tanzania.
MUNGU bariki watanzania.
Wewe kama nani? Ni Jaji tu wa kesi hiyo ndiyo mwenye mamlaka na tarehe za kesi.

Huyu Lissu wenu kila siku mnamtabiria kuachiwa as if Serikali inamuogopa!! Acheni kuchezea Serikali na mtu wenu aemdelee tu kuwa mpole huko Ukonga mpaka atalaposhinda kesi
 
Mnajifariji aisee
Mnadhani mahakama ni kamati kuu ya chadomo ee?

Nasikitika kuona wako Raia weng wenye mawazo kama haya.

Kesi ya Lissu itamalizika rasm pale Rais Samia atakapoapishwa.

Zile ziku 10 za mwanzon.

Hili linafahamika toka alivyokamatwa.
 
Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume😂😂😂

Bro Mshana Jr .
Lengo la kumkamata Lissu sio kumfunga. Ila ni kutuliza/kunyamazidha viashiria vya fujo ambavyo usalama wa Taifa uliona kuna uwezekano wa kutokea Hasa kipind cha kampen na Uchaguzi.

Kwahiyo Uchaguzi ukimalizika. DPP anasema hana haja ya kuendelea na kesi.

Ref na kesi nying za Kisiasa zinavyoishiaga.
 
Kukurupuka.
Sasa wanafanya mikutano ya hadhara na wanafunzi wa sekondari wanaolazimishwa kuja kwenye mikutano na nguo za nyumbani.
Wanamdanganya nani?
Wana shindana na nani?
Wanamdanganya World Bank kwa Sababu yuko mbali, Washington huko.
 
Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa.

Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume

MUNGU ibariki tanganyika.
MUNGU ibariki tanzania.
MUNGU bariki watanzania.
Mungu ana miujiza yake.
 
Kukurupuka.
Sasa wanafanya mikutano ya hadhara na wanafunzi wa sekondari wanaolazimishwa kuja kwenye mikutano na nguo za nyumbani.
Wanamdanganya nani?
Wana shindana na nani?
Hehehe.....yakweli haya?
 
Back
Top Bottom