Tetesi: Kesi ya Lissu inaweza kuitwa mapema kabla ya tarehe iliyopangiwa

Tetesi: Kesi ya Lissu inaweza kuitwa mapema kabla ya tarehe iliyopangiwa

Mnajifariji aisee
Mnadhani mahakama ni kamati kuu ya chadomo ee?
Yaani waite wasiite hata sio iisse sn maana atatoka tu hilo haliepukiki
Na Tz hakuna mahakama get that into your head
Issue ni kuwa tafuteni kwa kwenda km mnajua mmeifisidi nchi
Halafu mtu anatoq maoni yake kwa upeo mdogo wa kufikiri ushaingiza ujinga
 
Bro Mshana Jr .
Lengo la kumkamata Lissu sio kumfunga. Ila ni kutuliza/kunyamazidha viashiria vya fujo ambavyo usalama wa Taifa uliona kuna uwezekano wa kutokea Hasa kipind cha kampen na Uchaguzi.

Kwahiyo Uchaguzi ukimalizika. DPP anasema hana haja ya kuendelea na kesi.

Ref na kesi nying za Kisiasa zinavyoishiaga.
Uongo labda umdanganye mgeni
Fujo zipi? Hivi alipokuwa anafanya mikutano kuna mahali popopte kuliwahi tokea fujo?

Acheni kujitafutia laana bure sbb zinajulikana
 
Nasikitika kuona wako Raia weng wenye mawazo kama haya.

Kesi ya Lissu itamalizika rasm pale Rais Samia atakapoapishwa.

Zile ziku 10 za mwanzon.

Hili linafahamika toka alivyokamatwa.
Nani atakqpoapishwa ? Wapi mkuu?
Which country 🤔
Nimekaq pale
 
Uongo labda umdanganye mgeni
Fujo zipi? Hivi alipokuwa anafanya mikutano kuna mahali popopte kuliwahi tokea fujo?

Acheni kujitafutia laana bure sbb zinajulikana

Jiulize tu . Vuguvugu la NRNE nan ni Eng wake mkuu?.

Bila shaka ni TAL .
Bas wao wakaona ni vyema kumthibiti kwa namna yoyote ile.

Na wameweza. Ila sasa pamoja na hayo kuna wanaharakati wengne wameibuka na kuipambania NRNE nje ya Chadema na Kutokuwepo kwa TAL.

Sasa swali.
Je? Hiyo sio viashiria vya hatar ambayo waliona vinaweza vikatokea?.
Imagine jamaa angekuwepo uraiani muda huu + hizi vuguvugu za wanaharakat. Unahisi Utulivu ungekuwepo?.
Bila shaka hapana.

Sasa hivi ni viashiria.

Maana unatakiwa kuzima au kuzuia viashiria vyovyote vinavyoweza kuleta moto na sio kusubiria moto uwake ndio uzime.

Kwahiyo TAL ataachiwa pale serikal mpya itakapoundwa. Maana joto la vuguvugu la NRNE litakuwa limeisha.

Najua umenielewa sasa
 
Back
Top Bottom