Wa nini? 29 ni BLACK WEDNESDAY baasi!Mange yupo nchini?
Unataka kumtolea mahari?Mange yupo nchini?
Mange yupo nchini?
Anatukosesha mapato wazee wa kamati ya michango...Kutoka Twitter anasema alitaka kujinyonga kutokana na depression za maisha, lakini ameahirisha hadi siku ya maandamano ya Mange Kimambi tarehe 29/ 10/ 2025.
View attachment 3475622
septemba 23 /2024 maandamano aliyoyaitisha Mbowe wana dar es salaam tuliingia mitini, dhumuni la maandamano ni yale yale ya sasa kuomboleza walitekwa nk, kuishinikiza waziri wa mambo ya ndani na wakuu wa ulinzi na usalama kuwajibika, pamoja na kuishinikiza serikali kuruhusu wachunguzi huru maana polisi ni washukiwa
View: https://www.youtube.com/watch?v=IRgMIPp9F2A hali ilikua hii aliandamana na mtoto wake pamoja na waandishi wa habari
bado siku 40 wakuu kufika oktoba 29
movement hii itafeli kwa sababu haina planning
Najua hautatoka bali unajisemea hovyo hovyo tu mtandaoni huku umejificha uvunguni😂Wa nini? 29 ni BLACK WEDNESDAY baasi!
29 TUNATOKA!
Hayo mengine sifahamu, mm huwa nipo kamati ya kukusanya michango, nachojua ni kufyeka baadhi ya majina kwenye kalatasi ili hesabu ziende vyema...Kwani aliyejinyonga hazikwi na kamati mazishi?
Nataka nimtolee Ng'ombe Lori 2 kama Aziz Kwa HamissaUnataka kumtolea mahari?
Endelea kujichekesha kimalayamalaya hivohivo! 29 ni black WEDNESDAY!Najua hautatoka bali unajisemea hovyo hovyo tu mtandaoni huku umejificha uvunguni😂
Cc: Mimi Wewe Yule