GE2025 Mdau wa Twitter aahirisha kujinyonga hadi tarehe 29/10/2025

GE2025 Mdau wa Twitter aahirisha kujinyonga hadi tarehe 29/10/2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
septemba 23 /2024 maandamano aliyoyaitisha Mbowe wana dar es salaam tuliingia mitini, dhumuni la maandamano ni yale yale ya sasa kuomboleza walitekwa nk, kuishinikiza waziri wa mambo ya ndani na wakuu wa ulinzi na usalama kuwajibika, pamoja na kuishinikiza serikali kuruhusu wachunguzi huru maana polisi ni washukiwa



View: https://www.youtube.com/watch?v=IRgMIPp9F2A hali ilikua hii aliandamana na mtoto wake pamoja na waandishi wa habari






bado siku 40 wakuu kufika oktoba 29


movement hii itafeli kwa sababu haina planning

MBOWE alikuwa ni tapeli tu 🚮
 
Wakuu au kuna kitu me sielewi

Humu mtandaoniiiii watu wengi wanaonekana wakosoaji na wapingaji

Ila kitaaa naona watu wengiii sanaaaaaaa wanaenda kumtazama rais


Hii imekaaaje
Ni kweli ukiwa humu JF unaweza kudhania Tanzania ina hali mbaya ya haki za raia kama Somalia au Yemen. Yaani unaweza kuhisi nchi haina amani, lakini ukienda kwa ground watu wako busy kutafuta hela na wana furaha
 
Back
Top Bottom