Video: Kwa Hali niliyoiona Leo kwenye page ya sativa tarehe 29 kila mtu atalala ndani

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa.

Hvyo hizi za Sasa ni kelele za keyboard tu Samia mitano tena endelea kutuongoza tu sababu sisi ni wajinga wewe ndio una akili.

Mitano au mia?
Watanzania ni wazuri sana mitandaoni
hili suala hata hapa mtandao ukitaka kulijadili wengi wanakuona mwehu hali ya kua ndo uhalisia huku uraiani. tusipokubali kujadili vitu kwa uhalisia wake tutaendelea kubaki hivi hivi..

nb: museveni miaka 39 madarakani, biya miaka 43 madarakani
 
Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo iringa jirani na nyumba ya asas midume imekaa inashangaa Moja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha Kila mmoja dmwetu tarehe 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa hivyo hizi za Sasa ni kelele za keyboard tu Samia mitano tena endelea kutuongoza tu sababu sisi ni wajinga wewe ndio una akili
Keyboard warriors, sisi waTZ ujasiri bado sana!
 
hili suala hata hapa mtandao ukitaka kulijadili wengi wanakuona mwehu hali ya kua ndo uhalisia huku uraiani. tusipokubali kujadili vitu kwa uhalisia wake tutaendelea kubaki hivi hivi..

nb: museveni miaka 39 madarakani, biya miaka 43 madarakani
Tupo vizuri sana mitandaoni na ndio uhalisia wetu, hili ni taifa la keyboard woria.
 
Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa.

Hvyo hizi za Sasa ni kelele za keyboard tu Samia mitano tena endelea kutuongoza tu sababu sisi ni wajinga wewe ndio una akili.
Nani katekwa tena?
 
Kwani lile vurugu meatu mpqka mkuu WA wilaya akaenda kushonwa nyuzi za kutosha ilikua ni Kenya? Hapa watz bado hawana sababu ya kuandamana mkuu muda ukifika hata lisu watu hawato msikiliza akiwaomba wawe wapole
Hamna kitu watanzania ni waoga ikiwzmo Mimi na wewe huo ndio uhalisia kama watu kutekwa na kuuwawa sio sababu utakua unamapungufu kichwani
 
Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa.

Hvyo hizi za Sasa ni kelele za keyboard tu Samia mitano tena endelea kutuongoza tu sababu sisi ni wajinga wewe ndio una akili.

Lissu angechukua hela akasepa zake.
 
Hatujakamatika vizuri ndio maana hatuoni nia na haja ya kuandamana.

●Idadi ya jobless mtaani inazidi kuongezeka.
●Gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku.
●Purchasing power ya mtanzania wa kawaida inazidi kushuka kila mwaka.
●Ubadhirifu na wizi wa mali za umma unazidi kuongezeka na sote tunaona.
●Gap kati ya mwenye nacho na asiyenacho linazidi kuongezeka kila siku.

Yote haya yakifikia dew point mbona utashangaa, njaa mbaya sana mkuu!!
 
Back
Top Bottom